Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa

Kwani wamekatazwa ? Hauna guts za kushambulia vyama vya siasa ,simba ni kubwa kuliko CHADEMA ,usifananishasimba na ujinga kama CHADEMA...kuna watu wanalipwa ,wanalipa kodi ,CHADEMA wanachangia nn? mtaji wao porojo tu .
Simba ni kubwa kwenye soka na CHADEMA ni kubwa kwenye siasa. Ndio maana unaichukia mpaka kifo chako na utaiacha.
 
Hovyo kabisa. Kwahiyo, Chadema ikiingia madarakani Simba na Yanga zitapigwa marufuku? Halafu mnadai Chadema inapendwa nchi hii? Labda na vichaa maana hata Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti ni vichaa!
Elewa somo sio unaamka tu. Ni kwamba Simba na Yanga zinatumika kisiasa ili ajenda za msingi zipite bila kujadiliwa. Ni ukweli kabisa.
 
Manara aka manyara tunamvumilia kwa sababu ya ulemavu wake Ila akizidi tutamshughulikia sawasawa na matendo yake Kama anajielewa afinge kapu lake chadema SIO levo yake kabisa.
 
Hivi huyu Manara amewahi kupaza sauti kukemea ya October 29, utekaji na yanayo endelea nchini? Au yeye yupo Kwa ajili ya kuwafulahisha ma Bwana zake!
Ni Diwani wa CCM- Kariakoo..hajui hata alivyoshinda maana alikuwa mafichoni tena,chimbo baya na hakupiga hata kura.
Alipigiwa tu simu hali ilipotulia aandae suti aende kwenye uapisho..
 
idiot!
 
Mimi mwenyewe sio shabiki wa hizo Yanga na Simba. Lkn mkae mjue CHADEMA hamna uwezo wa kudhibiti ushabiki wa soka!
Nyie mnune, mvimbe hata mpasuke vibe la soka hamliwezi.
Mashabiki wanafurika uwanjani bila kujali shida zao, na wengine ni waathirika wa Oktoba 29 lkn linapokuja soka hayo ya siasa za CHADEMA hayana nafasi labda mpk baada ya dak. 90
 
Ameendelea au wewe ndiyo umeona huo ujinga leo?Akishambuliwa na kuwekwa mtu kati asikimbilie polisi na kusingizia wanataka kumchuna ngozi!Watu wapo siriazi na nchi,yeye analeta ubwege wake.
 
Acha unafiki wewe.Kila ikitajwa CDM msamba unaanza kukuwasha na kushabikia hata maujingajinga.
 
MANARA ZERUZERU KAA KIMYA CCM WAMEUA RAIA ,CCM WAMEFUKIA WATU ,CCM WAMEBAKA WATU,CCM WANAENDELEA KUWABAMBIKIA WATU UGAIDI WEWE ZERUZERU UNAKENUA MENOOO KWA KUNUFAIKA NYAUUU WEE
 
Hebu relax mh "diwani", nadhani hujamuelewa uzuri Mh Makamo, alichomaanisha wengi wetu sisi Watanganyika, imekuwa mpira kwanza, na si SIASA kwanza,..tubadili vipaumbele vyetu...shida sisi tumelalilia kwenye MPIRA zaidi, kuanzia asubuhi, mchana, jioni na usiku ,24/7..redioni, tv, na hata online media..MPIRA MPIRA kutwa...TUBADILIKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…