Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Wewe unafurai kuona Simba wanatumia rangi yetu nyekundu na nyeupe wakati awakuwai kupinga rushwa,ufisadi,utekaji nk KAMANDA?Jizi na lipenda rushwa limepost
Wewe unafurai kuona Simba wanatumia rangi yetu nyekundu na nyeupe wakati awakuwai kupinga rushwa,ufisadi,utekaji nk KAMANDA?Jizi na lipenda rushwa limepost
..kuna madogo wa soccer academy iliyoko Mwanza wameuwawa kinyama Oct 29.
..Hakuna cha Simba, Yanga, wala Haji Manara, waliolaani mauaji ya watoto wa soccer academy.
..Watanzania tukatae propaganda za kutulazimisha kuhalalisha uhayawani wa Oct 29.
..Mabadiliko wanayoyadai Chadema hayana ubaya wowote ule kiasi cha Samia na genge lake kuyakataa, na kufanya mauaji ya kihistoria.
Cc Nguruvi3, Erythrocyte
Mbona alishindwa kusimamia HAKI YA MWANAMKE KUA MWENYEKITI/KATIBU AU NAIBU KATIBU CHAMA TAIFA?..ndani ya Ccm wako mabingwa wa sheria kumzidi Tundu Lissu.
..kinachomfanya Lissu aonekane ni bora zaidi yao ni kwamba yeye siku zote anasimama upande wa HAKI.
..Lissu akiamini jambo fulani ni la HAKI basi anaweza kuipinga hata Chadema.
..Ni vigumu sana kupambana na mtu anayesimamia HAKI na UKWELI.
Mbona alishindwa kusimamia HAKI YA MWANAMKE KUA MWENYEKITI/KATIBU AU NAIBU KATIBU CHAMA TAIFA?