Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,106
- 1,790
Heche kapiga panapouma. Kichaka kinaungua.
Kuna club ya mpira yoyote iliyokemea mauaji ya October au kutoa salamu za pole au waliokufa hamna mashabiki zao club za mbogo zinazidiwa na brand ya Davido kwa kukemea mauaji kuna club hapo uchafu
Heche kapiga panapouma. Kichaka kinaungua.
Manara ni mnafiki sana. Kuna watoto walikuwa wanaangalia Mpira pale Mwanza (Tume ya Chande) walipigwa risasi. Manara hakuona hilo anakuja kujadilia kauli za Heche..kuna madogo wa soccer academy iko mwanza waliuwawa Oct 29, lakini Haji Manara na wenzake wanaojidai ni wakereketwa wa soka, wamekula kimya.
Je kwako wewe ni maneno ya biblia na Qur-an?..hizo ni kauli za kishabiki na propaganda nyepesi.
..mabadiliko yangefanyika uchaguzi ungepita salama.
Wacha uwiingo huo wapi walipogwa risasi.. wasanii Gani waliosimama na uma. Tatizo chadema mnajimilikisha umma huku mkijua wazi ni wapuuzi wachache TU.Manara ni mnafiki sana. Kuna watoto walikuwa wanaangalia Mpira pale Mwanza (Tume ya Chande) walipigwa risasi. Manara hakuona hilo anakuja kujadilia kauli za Heche
Manara analaumu Wasanii kukaa kimya, well! Wasanii walijifunza. Baada ya October 29 hakusimama na Umma, Wananchi wakasusia shughuli zao! Manara hakumbuki baada ya Oct 29 wananchi walisusia Yanga na Simba bila kauli ya Heche au yoyote!
Endelea kupanuliwa makalio na abduli huku ukilamba uchi mchafu wa samia , ndio kazi inayokuja ,zwazwa pro maxHawa CHADEMA ni chuki tu ,kila mtu wanataka awakubali ,yaani ilitakiwa wapigwe marufuku nashangaa watu wanwaangalia tu ... CHADEMA haijaleta manufaa yoyote wala hailipi kodi ,badala yake inachangisha pesa kutoka kwa watu maskini kabisa ili kwenda kuzunguka na magari pamoja na kulipana posho.
Hawa jamaa lazima wajue manufaaa ya chuki ,ipo siku watajuta..CCM endelea kuwanyoosha hawa wala ugoro .
Yaan wafuasi wa Chadema bhana yaan wao wanachoamini viongozi wao ndyo wana akili kushinda watu wengine kwenye hii nchi nyie nyie ndyo mnaoamini kuwa Lissu ni mtu mwenye akili sana hapa Tz utasikia huwezi kumshinda Lissu kwenye kesi yoyote mimi siamini hilo najua kuna watu wapo wanaoijua sheria kuliko huyo kiongozi wenu wafuasi wa Chadema acheni ushambaManara Mpumbavu yule anaweza kumjibu nini Heche?
Mimi sipo tayari kuona ukatili na mauaji haya ya kinyama kwenye nchi Yangu
Wajaji kama haitoshi wameamja kutubambia kesi za ugaidi.
(UONGO TU)
Tanzania sio sehemu salama ya kupokea wageni AFCON kuna wimbi la Magaidi la kutisha mno.
dah! mtu aliyeshindwa kukaa na mwanamke anaweza akakushauri nini?kila siku kuoa na kuacha ndio najua. Kama ana madini kichwani mwake si angemwaga kwa wanawake zake adumu nao japo mwaka.From Halis Max Facebook Page.
Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa ✍️
Watu wa football mpo wapi? Wanahabari na Majukwaa yetu mmelala? Wasanii mnaogopa kutukanwa mitandaoni?
Football ipo kabla ya Uhuru wa Nchi hii,Yanga na Simba zimeanza kabla ya TANU na ASP vyama vilivyogomboa Taifa hili la Tanzania. Na zenyewe zilishiriki kikamilifu harakati bora zaidi kuwahi kutokea za kumng’oa Mkoloni!!
Soka imeajiri Watu wengi kuliko vyama vyenu vya siasa na mchezo huu unapendwa kuliko hivyo vyama vyenu na ndio maana vina ufuasi mkubwa kuwazidi. Watu elfu sitini wanalipa viingilio vyao kutazama ndiki lakini mikutano yenu hata watu elfu kuwapata shughuli tena bure!! Wafuasi wa Soka najua mnaogopa kukemea hili kisa matusi ya mitandaoni. Tunakubali vipi kila siku Wanasiasa wauvae mchezo wetu kwa maslahi yao?
Wasanii na nyie mnadharauliwa mnashindwa kupaza sauti kisa mnaogopa kejeli na matusi yao.
Miaka 30 ya Bongo flavor inatumika kisaisa na haifai ila kwenye matamasha mengine wapo siti za mbele !!
Mmekuwa wanyonge ila kazi kupigana vijembe tu wenyew kwa wenyew,, Mtu ananijisi kazi yenu mnaacha hata kumjibu kisa kiongozi wa kisiasa? Na nyie Media ya Tanzania imetukanwa sioni kauli zozote za Majukwaa ya Wahariri wala ya Wanahabari, kesho mtapata wapi legitimacy ya kuwakemea wengine wakiwadhihaki?
LKisa ni kuogopa kebehi zao!!
Acha niongee kwa niaba ya Soka. Mambo yenu na magomvi yenu ya siasa msituletee huku.
Simbaa na Yanga Ndio furaha yetu no matter wat!! Viongozi wa hivi vilabu,TFF,Wachambuzi na Wadau ukimya wenu na uoga wenu umenishangaza sana leo. Soka inakejeliwa wakati imetoa fursa kubwa kwa walio wengi?
Nyie vp bhana!!
Nb:Tukiwachekea hawa kuna siku watasema watu wasiende miskitini na makanisani kisa kuunga mkono matakwa yao!! Nb2: Aziiz funguo tayari huko🤪
Nguvu ya Mpira duniani na Tanzania ni kubwa mno na inapaswa iheshimiwe na ilindwe kwa wivu na gharama kubwa. Hakipo Chama chochote kiwe cha siasa au upatu chenye uwezo wa kubeba hadhira kama hizi,,kukusanya Watu zaidi ya elfu sitini tena wakiwa wamelipa pesa zao!!
HAKIPO !! Ni vile tu kina Ngunguz na kina Hersi hawajajua wanaongoza Taasisi zenye ukubwa gani !!
Halaf anatokea Mtu anaponda na kudai football inatumika kisiasa na Watawala. Hao wamelipa viingilio vyao na wamelipa nauli kuja kushangilia team zao na kuenjoy Soka!! Hapo kuna Siasa? Hao wote wanatumika na Watawala? Wanapagawishwa na football kutokana na ‘mahaba yao' Au hapo wameletwa ili wapumbazwe?
Kipo wapi Chama chenye nguvu hiyo Tanzania hii kukusanya Umma kama huo? Yupo wapi Mtu anaebeza Vibe kama hili ?na hawa wote sio kama hawana Changamoto za maisha yao, lakini nguvu ya football inawakusanya hapo bila kujali tofauti zao za kipato,kikabila,kidini au eneo watokalo!!
Mwanasiasa hodari na makini ni yule anaepaswa awaheshmu na kuwapeti Washabiki hawa wa Ndiki na sio kuwabeza au kuuponda mchezo wao pendwa!! Hawa ni wapiga kura wakitanzania na hapo sijawajumuisha Mamilioni waliopo majumbani wakifurahia burudani toka sebuleni kwao!!
Pls DON'T TOUCH OUR FOOTBALL
Kama wewe unapanuliwa na Heche😅😅shobo nyingi hata wazazi wako huana muda nao ..Kazi kubwa kudanganywa na wanasiasa...Kama kademu kameanza kuota chuchu ,utapewa mimba muda sio mrefu.Endelea kupanuliwa makalio na abduli huku ukilamba uchi mchafu wa samia , ndio kazi inayokuja ,zwazwa pro max
siyo.mwisho wa akili yako ilipokufikisha?Yaan wafuasi wa Chadema bhana yaan wao wanachoamini viongozi wao ndyo wana akili kushinda watu wengine kwenye hii nchi nyie nyie ndyo mnaoamini kuwa Lissu ni mtu mwenye akili sana hapa Tz utasikia huwezi kumshinda Lissu kwenye kesi yoyote mimi siamini hilo najua kuna watu wapo wanaoijua sheria kuliko huyo kiongozi wenu wafuasi wa Chadema acheni ushamba
Shida ya CCM wote ni akili zao kama vizibooHeche ni mropokaji TU.
Yaan wafuasi wa Chadema bhana yaan wao wanachoamini viongozi wao ndyo wana akili kushinda watu wengine kwenye hii nchi nyie nyie ndyo mnaoamini kuwa Lissu ni mtu mwenye akili sana hapa Tz utasikia huwezi kumshinda Lissu kwenye kesi yoyote mimi siamini hilo najua kuna watu wapo wanaoijua sheria kuliko huyo kiongozi wenu wafuasi wa Chadema acheni ushamba
Je kwako wewe ni maneno ya biblia na Qur-an?
Hivi nani aliyekupeni authority na kuongea ya kuwa nyinyi ndiyo mko right hata kama pumba... Huoni kama huo ni ukosefu wa akili?
Kajifunze kuandika halafu uje uongee na mimi kukujibu wewe nitajishushia heshima yanguN
siyo.mwisho wa akili yako ilipokufikisha?
Haki wapi bhana ww kuna haki hapa Duniani..ndani ya Ccm wako mabingwa wa sheria kumzidi Tundu Lissu.
..kinachomfanya Lissu aonekane ni bora zaidi yao ni kwamba yeye siku zote anasimama upande wa HAKI.
..Lissu akiamini jambo fulani ni la HAKI basi anaweza kuipinga hata Chadema.
..Ni vigumu sana kupambana na mtu anayesimamia HAKI na UKWELI.
ManaraFrom Halis Max Facebook Page.