Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Unalia nn dogo?Nyie nguruwe Kwa sasa imebaki kidogo hamtaonekana tena na vizaz vyenu labda mkimbie nchi. By the way huyo zeruzeru mwambie kuwa ni mpumbavu asiye na umuhimu wowote hapa duniani
Unalia nn dogo?Nyie nguruwe Kwa sasa imebaki kidogo hamtaonekana tena na vizaz vyenu labda mkimbie nchi. By the way huyo zeruzeru mwambie kuwa ni mpumbavu asiye na umuhimu wowote hapa duniani
Kwani uliitwa ,uchaguzi ulishaisha siasa na mpira ni vitu viwili tofauti ..Wasuse mara ngapi mbona wamerudi ? walisusia wasanii mbona wamerudi ? acheni chuki usitaje mwingineJamani maneno hayo tuwe makini nayo tulikofikia sio kuzuri hata kidogo msijione wamba sana watu washaanza kung'amua nyendo zenu kuwa hii mipira inatumika msije kushangaa watu wakaanza kuwaasusia maana mambo zimezidi mara simba/yanga kumbwa kuliko cdm mfano wakaanza kususia kisa kauli zenu hebu kama mmeamua kujitenga na siasa jitengeni mazima sio kiujanja ujanja na uswahili. Halafu kwanini mnataja cdm pekee au kwakuwa Manara diwani wa ccm?
Hamna siasa ni mawazo yaloHivi nyie mnaanza kuingiza uchama kwenye hivyo vilabu vyenu vya kisiasa hao mnaowananga wakiamua kujitenga mtaweza maana wamewavumilia muda ajabu mnawssema tu huyo Manara anajulikana ni diwani wa twawala sasa anajitenga vp wengine wakiamua kuongea kwanini anahisi yuko na nguvu ya kuongea anachojisikia kuliko wengine mwehu mmoja tu namuona
😅😅Ona ulivyokuwa mjinga ,simba sio siasa ,unadanganywa hiyo sio kazi yao...😅😅Uliona timu ipi duniani ikawa inazuia utekaji?..kama Simba ni kubwa kiasi hicho kwanini haizuii utekaji, na mauaji yanayoendelea nchini?
..kwanini Simba haitetei wananchi ili gharama za maisha zipungue?
..Timu za mpira ni kichaka tu cha kuwanyonya masikini wa nchi hii.
..Wanaofaidika na timu za mpira ni matajiri, mafisadi, wanaoshirikiana na viongozi wa serikali.
Heche ameongea ukweli! Yeye Manara na CHAWA wenzake ndiyo wapuuzi.
Mimi ni shabiki wa Yanga, na ninatambua fika ccm imejipenyeza kwenye kila uongozi unaopita wa timu. Ukienda simba nako mambo ni
Lugha za kiCHADEMACHADEMA hizi.Acha unafiki wewe.Kila ikitajwa CDM msamba unaanza kukuwasha na kushabikia hata maujingajinga.
😅😅Ona ulivyokuwa mjinga ,simba sio siasa ,unadanganywa hiyo sio kazi yao...😅😅Uliona timu ipi duniani ikawa inazuia utekaji?
Mtu atoke huyo Mara anawadanganya ,ushamba huu
Kwamba Haji anahisi anaweza kupeleka mashabiki anavyoweza?Hamna siasa ni mawazo yalo
CHADEMA imetoa mchango upi 😅😅zaidi ya kuomba omba wananchi masikini ,nchi ilikuwa tulivu walivyofukuzwa na Magufuli...umemsoma vizuri mtoa mada?
..Yanga na Simba zilitoa mchango mkubwa wakati wa harakati za kudai UHURU.
..sasa watu wanauliza nini mchango wa klabu hizi kubwa ktk harakati za kizazi hiki za kudai HAKI?
Msuse mara ngapi? CHADEMA michango imefika wapi ?😅😅Usifikirie watu wanafuga chuki ,zinaumiza ..Mondi anapiga show fresh ,na wasanii wanatoa ngoma fresh ,mmekata pumzi ..Rudini kulima sio fani yenu kuongoza nchi ,hata babu zenu hawakuwahi kupambania uhuru ,tulieni mchunge 😭Kwamba Haji anahisi anaweza kupeleka mashabiki anavyoweza?
CHADEMA imetoa mchango upi 😅😅zaidi ya kuomba omba wananchi masikini ,nchi ilikuwa tulivu walivyofukuzwa na Magufuli.
Huyu mother wa watu ,akatoa posho zake ili warudi wajenge nchi ,walikuwa wote hawapo nchini ,walishaomba hifadhi mpaka familia zao .. Kiufupi ,mother anajuta kufadhili hao wasiokuwa na shukrani . Hayana shukrani majitu ya bara hata robo ,bora hata ufunge mbwa.
Leo wanataka kumpindua ,unajua kupindua serikali wewe ? au bado mjinga unaamini kukikunikisha ni harufu nzuri ,huyu ndiye mwenye akili anayekataa uchaguzi na kusema atakinukisha ,halafu mahakamani anasema "kunukisha harufu nzuri" ..Hiyo ndiyo elimu anayosifiwa nayo 😅😅basi siwezi kumpeleka mwanangu kusoma huo ujinga.
Nani anayesema ya kuwa Heche na Lisu wanapigania haki? Kwa Nini ulazamisha mpuuzi heche anapigqnia haki? Haki Ili? Ya kutukana watu.?..kuna mambo mazuri ktk andiko lako.
..umeeleza HISTORIA kwamba vilabu vya Simba, na Yanga, vilishiriki kikamilifu ktk kudai uhuru wa Tanganyika.
..sasa fast forward na kudadavua kinachoendelea sasa hivi nchini.
..Je, vilabu vya Simba na Yanga vinapaswa kusimama upande wa watetezi wa HAKI, au upande wa madhalimu wanaoteka, na kuuwa?
..Vilabu hivi vina ufuasi mkubwa sana nchini. Je, vilabu hivyo vimeitumia vipi mtaji wa ufuasi vilivyo nao kuhakikisha HAKI inatamalaki nchini?
..Kwa taarifa yako tu, Tundu Lissu ni shabiki mkubwa wa Yanga. John Heche ni shabiki mkubwa wa Simba. Kwa hiyo usifikiri kwamba Chadema na uongozi wake sio wadau wa soka hapa nchini.
Nyie hamna fadhila ,jino kwa jino..Mama alianza vizuri lakini hapa juzi kati amekengeuka.
..Waliomshauri Mama aachane na 4R, badala yake ajiegemeza kwa vyombo vya dola, na kutumia mabavu, ndio wakulaumiwa.
..Tume ya Jaji Chande imeeleza kwamba chanzo cha vurugu za OCT 29 ni kupuuzwa kwa muda mrefu kwa madai ya Katiba Mpya, na uchaguzi huru na wa haki.
..Madai kwamba kulikuwa na jaribio la mapinduzi ni kutaka tu kujisafisha na kashfa ya mauaji ya kihistoria yaliyofanywa na Mama na genge lake.
Nyie hamna fadhila ,jino kwa jino
Nani anayesema ya kuwa Heche na Lisu wanapigania haki? Kwa Nini ulazamisha mpuuzi heche anapigqnia haki? Haki Ili? Ya kutukana watu.?
Kama alishika bunduki nioneshe picha yake? kama wajinga ,muue polisi wao waangalie tu kwani hawana familia ...Mama kauwa watu wasio na hatia.
Pia tuikatae Simba kwakua wanavaa tisheti nyekundu na nyeupe ambazo ni rangi zetu CHADEMA wakati atujawai kuona wakikemea utekaji na kukamtwa kwa Lissu.Hivi huyu Manara amewahi kupaza sauti kukemea ya October 29, utekaji na yanayo endelea nchini? Au yeye yupo Kwa ajili ya kuwafulahisha ma Bwana zake!
Kama alishika bunduki kioneshe picha yake? kama wajinga ,muue polisi wao waangalie tu kwani hawana familia .