Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa

From Halis Max Facebook Page.

Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa ✍️

Watu wa football mpo wapi? Wanahabari na Majukwaa yetu mmelala? Wasanii mnaogopa kutukanwa mitandaoni?

Football ipo kabla ya Uhuru wa Nchi hii,Yanga na Simba zimeanza kabla ya TANU na ASP vyama vilivyogomboa Taifa hili la Tanzania. Na zenyewe zilishiriki kikamilifu harakati bora zaidi kuwahi kutokea za kumng’oa Mkoloni!!

Soka imeajiri Watu wengi kuliko vyama vyenu vya siasa na mchezo huu unapendwa kuliko hivyo vyama vyenu na ndio maana vina ufuasi mkubwa kuwazidi. Watu elfu sitini wanalipa viingilio vyao kutazama ndiki lakini mikutano yenu hata watu elfu kuwapata shughuli tena bure!! Wafuasi wa Soka najua mnaogopa kukemea hili kisa matusi ya mitandaoni. Tunakubali vipi kila siku Wanasiasa wauvae mchezo wetu kwa maslahi yao?

Wasanii na nyie mnadharauliwa mnashindwa kupaza sauti kisa mnaogopa kejeli na matusi yao.
Miaka 30 ya Bongo flavor inatumika kisaisa na haifai ila kwenye matamasha mengine wapo siti za mbele !!
Mmekuwa wanyonge ila kazi kupigana vijembe tu wenyew kwa wenyew,, Mtu ananijisi kazi yenu mnaacha hata kumjibu kisa kiongozi wa kisiasa? Na nyie Media ya Tanzania imetukanwa sioni kauli zozote za Majukwaa ya Wahariri wala ya Wanahabari, kesho mtapata wapi legitimacy ya kuwakemea wengine wakiwadhihaki?
LKisa ni kuogopa kebehi zao!!

Acha niongee kwa niaba ya Soka. Mambo yenu na magomvi yenu ya siasa msituletee huku.
Simbaa na Yanga Ndio furaha yetu no matter wat!! Viongozi wa hivi vilabu,TFF,Wachambuzi na Wadau ukimya wenu na uoga wenu umenishangaza sana leo. Soka inakejeliwa wakati imetoa fursa kubwa kwa walio wengi?
Nyie vp bhana!!

Nb:Tukiwachekea hawa kuna siku watasema watu wasiende miskitini na makanisani kisa kuunga mkono matakwa yao!! Nb2: Aziiz funguo tayari huko🤪

Nguvu ya Mpira duniani na Tanzania ni kubwa mno na inapaswa iheshimiwe na ilindwe kwa wivu na gharama kubwa. Hakipo Chama chochote kiwe cha siasa au upatu chenye uwezo wa kubeba hadhira kama hizi,,kukusanya Watu zaidi ya elfu sitini tena wakiwa wamelipa pesa zao!!
HAKIPO !! Ni vile tu kina Ngunguz na kina Hersi hawajajua wanaongoza Taasisi zenye ukubwa gani !!

Halaf anatokea Mtu anaponda na kudai football inatumika kisiasa na Watawala. Hao wamelipa viingilio vyao na wamelipa nauli kuja kushangilia team zao na kuenjoy Soka!! Hapo kuna Siasa? Hao wote wanatumika na Watawala? Wanapagawishwa na football kutokana na ‘mahaba yao' Au hapo wameletwa ili wapumbazwe?

Kipo wapi Chama chenye nguvu hiyo Tanzania hii kukusanya Umma kama huo? Yupo wapi Mtu anaebeza Vibe kama hili ?na hawa wote sio kama hawana Changamoto za maisha yao, lakini nguvu ya football inawakusanya hapo bila kujali tofauti zao za kipato,kikabila,kidini au eneo watokalo!!

Mwanasiasa hodari na makini ni yule anaepaswa awaheshmu na kuwapeti Washabiki hawa wa Ndiki na sio kuwabeza au kuuponda mchezo wao pendwa!! Hawa ni wapiga kura wakitanzania na hapo sijawajumuisha Mamilioni waliopo majumbani wakifurahia burudani toka sebuleni kwao!!

Pls DON'T TOUCH OUR FOOTBALL
Wewe na huyo zeruzeru wote wapumbavu akili hamna
 
Kwa nini haifundishwi shuleni hiyo historia ya Simba na Yanga kushiriki harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika?

Manara aliwahi kukosoa derby ya Kariakoo kupelekwa Zanzibar,au hajui ni siasa ndiyo ziko nyuma ya hayo maamuzi?

Analaumu wengine kukaa kimya,yeye asiyeogopa kejeli na matusi aliongea lini kuhusu kilichotokea Oktoba 2025?
 
Kwa ulichoandika si ajabu unajiita "akili kubwa"! Ahahahahaha!!
Muda huu unatakiwa uwe remedial. Ukitoka remedial unatakiwa kuunganisha prepo. Acha kubishana na wakubwa zako. Mimi naongelea viongozi, wewe unakaza fuvu kwa kuihusisha klabu yote! Nakuelewesha huelewi!

Ushukuru siifahamu shule unayosoma. Ningekuja hukohuko kukutandika bakora. Huwezi kuwa na kichwa kizito namna hii.
 
Sasa ndio tunatoka kwenye Misa ya Ukarimu Kanisa la Kipapa Kawekamo. Askofu wa Jimbo Mkuu Katoliki Mwanza
Muda huu unatakiwa uwe remedial. Ukitoka remedial unatakiwa kuunganisha prepo. Acha kubishana na wakubwa zako. Mimi naongelea viongozi, wewe unakaza fuvu kwa kuihusisha klabu yote! Nakuelewesha huelewi!

Ushukuru siifahamu shule unayosoma. Ningekuja hukohuko kukutandika bakora. Huwezi kuwa na kichwa kizito namna hii.
Ahahahahaha!!
 
Ameyaandika yeye au kaandikiwa?
Manara hata historia ya Uhuru wa Tanganyika haijui kabisa amekaririshwa propaganda za TANU na CCM .
Anawajua waasisi wa TAA ni nani? na akina nani waliamua kumkaribusha Nyerere????
Kelele nuingi siyo maarifa hata kidogo.

Manara angaika na udiwani wako wa kupewa pamoja na Tajiri wako Diamond (Wasafi)
Hata Wasafi ni ya Kibopa wa CCM ..huyo Diamond ni Cover tu..ndiyo maana unaona na Manara amepata Ajira pale..ni kama Crown ya KIBA=Waziri Mchengerwa...ndiyo maana Kikeke hakudumu.pale...angeisuka Ki BBC..ingeharibu ulaji- CCM..
 
Kwani wamekatazwa ? Hauna guts za kushambulia timu za mpira ,simba ni kubwa kuliko CHADEMA ,usifananishe simba na ujinga kama CHADEMA...kuna watu wanalipwa ,wanalipa kodi ,CHADEMA wanachangia nn? mtaji wao porojo tu .
Jamani maneno hayo tuwe makini nayo tulikofikia sio kuzuri hata kidogo msijione wamba sana watu washaanza kung'amua nyendo zenu kuwa hii mipira inatumika msije kushangaa watu wakaanza kuwaasusia maana mambo zimezidi mara simba/yanga kumbwa kuliko cdm mfano wakaanza kususia kisa kauli zenu hebu kama mmeamua kujitenga na siasa jitengeni mazima sio kiujanja ujanja na uswahili. Halafu kwanini mnataja cdm pekee au kwakuwa Manara diwani wa ccm?
 
Labda unaumwa😅
Hivi nyie mnaanza kuingiza uchama kwenye hivyo vilabu vyenu vya kisiasa hao mnaowananga wakiamua kujitenga mtaweza maana wamewavumilia muda ajabu mnawssema tu huyo Manara anajulikana ni diwani wa twawala sasa anajitenga vp wengine wakiamua kuongea kwanini anahisi yuko na nguvu ya kuongea anachojisikia kuliko wengine mwehu mmoja tu namuona
 
..AFCON ifutwe hapa Tz.

..haiwezekani nchi iliyouwa watu wake kwa maelfu ipewe heshma ya kuandaa AFCON.
 
Kwani wamekatazwa ? Hauna guts za kushambulia timu za mpira ,simba ni kubwa kuliko CHADEMA ,usifananishe simba na ujinga kama CHADEMA...kuna watu wanalipwa ,wanalipa kodi ,CHADEMA wanachangia nn? mtaji wao porojo tu .

..kama Simba ni kubwa kiasi hicho kwanini haizuii utekaji, na mauaji yanayoendelea nchini?

..kwanini Simba haitetei wananchi ili gharama za maisha zipungue?

..Timu za mpira ni kichaka tu cha kuwanyonya masikini wa nchi hii.

..Wanaofaidika na timu za mpira ni matajiri, mafisadi, wanaoshirikiana na viongozi wa serikali.
 
From Halis Max Facebook Page.

Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa ✍️

Watu wa football mpo wapi? Wanahabari na Majukwaa yetu mmelala? Wasanii mnaogopa kutukanwa mitandaoni?

Football ipo kabla ya Uhuru wa Nchi hii,Yanga na Simba zimeanza kabla ya TANU na ASP vyama vilivyogomboa Taifa hili la Tanzania. Na zenyewe zilishiriki kikamilifu harakati bora zaidi kuwahi kutokea za kumng’oa Mkoloni!!

Soka imeajiri Watu wengi kuliko vyama vyenu vya siasa na mchezo huu unapendwa kuliko hivyo vyama vyenu na ndio maana vina ufuasi mkubwa kuwazidi. Watu elfu sitini wanalipa viingilio vyao kutazama ndiki lakini mikutano yenu hata watu elfu kuwapata shughuli tena bure!! Wafuasi wa Soka najua mnaogopa kukemea hili kisa matusi ya mitandaoni. Tunakubali vipi kila siku Wanasiasa wauvae mchezo wetu kwa maslahi yao?

Wasanii na nyie mnadharauliwa mnashindwa kupaza sauti kisa mnaogopa kejeli na matusi yao.
Miaka 30 ya Bongo flavor inatumika kisaisa na haifai ila kwenye matamasha mengine wapo siti za mbele !!
Mmekuwa wanyonge ila kazi kupigana vijembe tu wenyew kwa wenyew,, Mtu ananijisi kazi yenu mnaacha hata kumjibu kisa kiongozi wa kisiasa? Na nyie Media ya Tanzania imetukanwa sioni kauli zozote za Majukwaa ya Wahariri wala ya Wanahabari, kesho mtapata wapi legitimacy ya kuwakemea wengine wakiwadhihaki?
LKisa ni kuogopa kebehi zao!!

Acha niongee kwa niaba ya Soka. Mambo yenu na magomvi yenu ya siasa msituletee huku.
Simbaa na Yanga Ndio furaha yetu no matter wat!! Viongozi wa hivi vilabu,TFF,Wachambuzi na Wadau ukimya wenu na uoga wenu umenishangaza sana leo. Soka inakejeliwa wakati imetoa fursa kubwa kwa walio wengi?
Nyie vp bhana!!

Nb:Tukiwachekea hawa kuna siku watasema watu wasiende miskitini na makanisani kisa kuunga mkono matakwa yao!! Nb2: Aziiz funguo tayari huko🤪

Nguvu ya Mpira duniani na Tanzania ni kubwa mno na inapaswa iheshimiwe na ilindwe kwa wivu na gharama kubwa. Hakipo Chama chochote kiwe cha siasa au upatu chenye uwezo wa kubeba hadhira kama hizi,,kukusanya Watu zaidi ya elfu sitini tena wakiwa wamelipa pesa zao!!
HAKIPO !! Ni vile tu kina Ngunguz na kina Hersi hawajajua wanaongoza Taasisi zenye ukubwa gani !!

Halaf anatokea Mtu anaponda na kudai football inatumika kisiasa na Watawala. Hao wamelipa viingilio vyao na wamelipa nauli kuja kushangilia team zao na kuenjoy Soka!! Hapo kuna Siasa? Hao wote wanatumika na Watawala? Wanapagawishwa na football kutokana na ‘mahaba yao' Au hapo wameletwa ili wapumbazwe?

Kipo wapi Chama chenye nguvu hiyo Tanzania hii kukusanya Umma kama huo? Yupo wapi Mtu anaebeza Vibe kama hili ?na hawa wote sio kama hawana Changamoto za maisha yao, lakini nguvu ya football inawakusanya hapo bila kujali tofauti zao za kipato,kikabila,kidini au eneo watokalo!!

Mwanasiasa hodari na makini ni yule anaepaswa awaheshmu na kuwapeti Washabiki hawa wa Ndiki na sio kuwabeza au kuuponda mchezo wao pendwa!! Hawa ni wapiga kura wakitanzania na hapo sijawajumuisha Mamilioni waliopo majumbani wakifurahia burudani toka sebuleni kwao!!

Pls DON'T TOUCH OUR FOOTBALL

..football sio ya Waafrika.

..Ni mchezo tulioletewa na WAKOLONI.
 
..kuna mambo mazuri ktk andiko lako.

..umeeleza HISTORIA kwamba vilabu vya Simba, na Yanga, vilishiriki kikamilifu ktk kudai uhuru wa Tanganyika.

..sasa fast forward na kudadavua kinachoendelea sasa hivi nchini.

..Je, vilabu vya Simba na Yanga vinapaswa kusimama upande wa watetezi wa HAKI, au upande wa madhalimu wanaoteka, na kuuwa?

..Vilabu hivi vina ufuasi mkubwa sana nchini. Je, vilabu hivyo vimeitumia vipi mtaji wa ufuasi vilivyo nao kuhakikisha HAKI inatamalaki nchini?

..Kwa taarifa yako tu, Tundu Lissu ni shabiki mkubwa wa Yanga. John Heche ni shabiki mkubwa wa Simba. Kwa hiyo usifikiri kwamba Chadema na uongozi wake sio wadau wa soka hapa nchini.
 
..football sio ya Waafrika.

..Ni mchezo tulioletewa na WAKOLONI.
Hakika lakini kwenye harakati ulisaidia kutukomboa maana mpaka mikutano ilipigwa marufuku kama tunavyo ona hivi leo kwahiyo sio kigeni na walitumia hizo mechi kukusanyika na kufanya mikutano hivyo ccm na polisi hakuna kipya wanafanya ni marudio ya ukoloni
 
Nyie machoko huyo zeruzeru ndio mnafikir atawasaidia, huyo ni mshenzi kama mlivyo huko ccm mwambien aende akamalizane na zylisa ndio size yake sio jembe heche.
Unajificha ,hamjawahi hata kuongoza nchi 😅😅hata mbunge hamna 😅
 
Wewe na huyo nguruwe zeruzeru ni wapumbavu wote mwambie huyo diwani wa mchongo aliyepatikana kupitia umwagaji damu ajiandae siku nchi ikikombolewa maji atayaita mmaaa.
Mke wa Lissu una tabu sana ,unalilia mumeo gaidi kukaa jela.
 
Back
Top Bottom