Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa

Heche sio ligi yake akamkalie mwijaku, Heche yupo bize na maswala ya kitaifa, period
 

Mbona alishindwa kusimamia HAKI YA MWANAMKE KUA MWENYEKITI/KATIBU AU NAIBU KATIBU CHAMA TAIFA?
 
Mbona alishindwa kusimamia HAKI YA MWANAMKE KUA MWENYEKITI/KATIBU AU NAIBU KATIBU CHAMA TAIFA?

..Haji alipaswa kupinga Yanga kuchangia kampeni za Ccm. Jambo hilo ni kinyume na miongozo ya Fifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…