Haji Manara kilichobaki aimbe taarabu tuIkumbukwe 25/02/2017 katika dimba la Taifa, mnyama mkali mwituni, Simba atakua akipambana na Ndala katika mechi ya mzunguko wa pili wa VPL. Mda mfupi uliopita, msemaji wa Simba SC, Haji Manara kaandika haya katika ukurasa wake wa Instagram juu ya mechi hiyo;
Mwisho wa kumnukuu. Asanteni.
Mkuu tuliacha maneno tukacheza, kutokana na ushauri wako.. uliona lakini mpira tuocheza?Acha maneno chezeni mpiraa
Na kweli anything can happen.. Ndala kala 2 Jana.Mpira ungekuwa Maneno basi tayari 5-1
Ila kwa kuwa Mpira ni dakika 90 basi kimichezo tuseme any thing can happen.
Ninaposoma comments zako mtani nafarijika sana tatizo ni baada ya dakika 90 hapo tarehe 25 utaenda eneo korofi kukupata tena ni majaaliwa
Kuhusu haji hana tofauti na el sahaf yule msemaji wa saadam husein katika gulf war alikuwa na mkwara sana mwisho wa siku unajulikana .
Hivi hao hiyo forward line kali east africa ilikuwepo kweli jana? Alafu mushukuru tu jana baba mwenye nyumba mwanjali hakuwepo.. la sivyo hatq hilo moja mngelisikia kwenye bomba.Tambwe.Ngoma.Chirwa.Msuva weka mbali na watoto....forward line Kali zaidi East Africa ..wana magoli zaidi ya 35 ...mikia mje kupunguza magoli au tutawafanya kama Ngaya
Mimi na wewe baada ya dk 90 nani kapotea?atapotea huyu jamaa akifungwa
Na kweli yametuponza.. Sisi si wakuwafunga ninyi goli 2.. Sita ilikua stahiki yenuManeno ya haji yatawaponza mikia....haya heri yake asie itamani ile Siku...
Kweli kabisa.. Hii itasaidia, maana Haji atatusaidia kututabilia vitu mbali mbali ambavyo vitatuepusha na majanga mfano baa la njaa, tetemeko n.kNadhan iko haja kwa huyu bwana afanyiwe vipimo kama ilivyo kwa Trump ni ushauri wang tu jamani
Mpaka sasa bado haumshangai?Hata kwa azam alisema hivyohivyo...so hatumshangai hata kdg.. tunajua tu mtt mdg ambae haongei hufikisha message kwa mamaake kwa njia ya kulialia...OVA
Mkuu.. uliona lakini tumeshinda vipi?SASA AKIFA KIPA NA BEKI UWANJANI TUTASHINDA VIPI?
NAKUMBUKA NDIO HUYU HUYU MSIMU ULIOPITA AKASEMA ATAWANYWESHA YANGA SUPU YA MAWE...
BAADA YA DK 90 UBAO UKASOMEKA 2-0.
ROUND YA PILI AKASEMA TENA KUWA ATAWAFANYA WACHEZAJI WA YANGA WALALEBILA VIATU....
BAADA TA DK 90 UBAO UKASOMEKA 2-0.
Naomba apuuzwe tu...najua baada ya tar 25 utasikia mara ohhh refaa kawapendelea. mara ohhh TFF inaibeba Yanga .Mara ohhh Manji katumia pesa...mara ohhh Malinzi anaipendelea Yanga ...
huwa nachekaga kwa mengi sana baada ya game ya aina hii.
Mkuu.. naona vitu hewa vimegeuka kua halisi.Ndiyo tatizo lenu wamatopeni mnaanza kujiaminisha vitu hewa. Mkifungwa mnatafuta mchawi. Mara refa mara kitu gani!
Mtaishia kung'oa viti.
Hatukua makini.. tukaondoka na pointi 3.. vipi ninyi mliokua makini.. mmeondoka na nini jana?Kwenda uwanjani Na matokeo Ni kuandaa mazingira ya kung'oa viti. Kuweni makini wa matopeni, msithubutu kutuharibia safari hii, tumechoshwa na mambo yenu
Kazoea vitamu, vichungu hapendi. Ndo bin Adam alivyoWakuu zangu, naomba mnisaidie hili suala.. linaniumiza kichwa siku nyingi sana..
Hivi kwanini binadamu hupenda kuambiwa au kusikia anachokipenda.. na kama akitokea akiambiwa tofauti na kile alichokitegemea au hali halisi yenyewe lazima povu limtoke?
Msaada wenu Tafadhali.. Asanteni.
Nakala; Ulimakafu Sibonike na ndugu zao
Kwan WAP katamka manjiaendelee na takwimu zake uchwara,aseme simba ndo imecheza michezo mingi zaidi Yao.pia simba imefunga magoli mengi zaidi Yao.mambo ya manji hayahusiani na mechi
Hahah.. Karibu tu Lipuli sis hakuna Mateja hukuKwakweli safari hii simba ikifungwa na hawa watuhumiwa,
Nahamishia mahaba yangu kwa Lipuli ya Iringa.
Bahati mbaya mnyama kafanya mambo yake. Wala unga chaliiHahah.. Karibu tu Lipuli sis hakuna Mateja huku
Aliongea kama manara. Hyo siyo akaunt ya timu.Kwa huo uandishi inadhihirisha jinsi gani kichwani alivyo mweupe.
Alitakiwa aongee kama msemaji wa timu na sio kuweka mipasho.
Aliongea kama manara. Hyo siyo akaunt ya timu.
Kicheko kinaendelea mkuu?
NAKUMBUKA NDIO HUYU HUYU MSIMU ULIOPITA AKASEMA ATAWANYWESHA YANGA SUPU YA MAWE...
BAADA YA DK 90 UBAO UKASOMEKA 2-0.
ROUND YA PILI AKASEMA TENA KUWA ATAWAFANYA WACHEZAJI WA YANGA WALALEBILA VIATU....
BAADA TA DK 90 UBAO UKASOMEKA 2-0.
Naomba apuuzwe tu...najua baada ya tar 25 utasikia mara ohhh refaa kawapendelea. mara ohhh TFF inaibeba Yanga .Mara ohhh Manji katumia pesa...mara ohhh Malinzi anaipendelea Yanga ...
huwa nachekaga kwa mengi sana baada ya game ya aina hii.
Hahahah kumbe kwenu inauma eehh? Jerry muro alikuwa anafanyaje hadi mkawa mnashangilia kama wehu kwa maneno yakeKwa huo uandishi inadhihirisha jinsi gani kichwani alivyo mweupe.
Alitakiwa aongee kama msemaji wa timu na sio kuweka mipasho.
Hahahah kumbe kwenu inauma eehh? Jerry muro alikuwa anafanyaje hadi mkawa mnashangilia kama wehu kwa maneno yake