Haji Manara: Afe kipa, afe beki. Kufungwa watafungwa tu

Haji Manara: Afe kipa, afe beki. Kufungwa watafungwa tu

Haji
Ikumbukwe 25/02/2017 katika dimba la Taifa, mnyama mkali mwituni, Simba atakua akipambana na Ndala katika mechi ya mzunguko wa pili wa VPL. Mda mfupi uliopita, msemaji wa Simba SC, Haji Manara kaandika haya katika ukurasa wake wa Instagram juu ya mechi hiyo;

862b559aa29b38d0b647e588bdc92d50.jpg

b6689c721063ec7e84b40326a40a01bb.jpg

11de7534fffa2220e410f796247947db.jpg


Mwisho wa kumnukuu. Asanteni.
Haji Manara kilichobaki aimbe taarabu tu
 
Kwa huo uandishi inadhihirisha jinsi gani kichwani alivyo mweupe.

Alitakiwa aongee kama msemaji wa timu na sio kuweka mipasho.
 
Kwenda uwanjani Na matokeo Ni kuandaa mazingira ya kung'oa viti. Kuweni makini wa matopeni, msithubutu kutuharibia safari hii, tumechoshwa na mambo yenu
 
Acha maneno chezeni mpiraa
Mkuu tuliacha maneno tukacheza, kutokana na ushauri wako.. uliona lakini mpira tuocheza?


Mpira ungekuwa Maneno basi tayari 5-1

Ila kwa kuwa Mpira ni dakika 90 basi kimichezo tuseme any thing can happen.
Na kweli anything can happen.. Ndala kala 2 Jana.


Ninaposoma comments zako mtani nafarijika sana tatizo ni baada ya dakika 90 hapo tarehe 25 utaenda eneo korofi kukupata tena ni majaaliwa
Kuhusu haji hana tofauti na el sahaf yule msemaji wa saadam husein katika gulf war alikuwa na mkwara sana mwisho wa siku unajulikana .

Nashukuru umetoka eneo korofi.. ila wenzako kwa nn umewaacha huko?


Tambwe.Ngoma.Chirwa.Msuva weka mbali na watoto....forward line Kali zaidi East Africa ..wana magoli zaidi ya 35 ...mikia mje kupunguza magoli au tutawafanya kama Ngaya
Hivi hao hiyo forward line kali east africa ilikuwepo kweli jana? Alafu mushukuru tu jana baba mwenye nyumba mwanjali hakuwepo.. la sivyo hatq hilo moja mngelisikia kwenye bomba.
atapotea huyu jamaa akifungwa
Mimi na wewe baada ya dk 90 nani kapotea?
Maneno ya haji yatawaponza mikia....haya heri yake asie itamani ile Siku...
Na kweli yametuponza.. Sisi si wakuwafunga ninyi goli 2.. Sita ilikua stahiki yenu
Nadhan iko haja kwa huyu bwana afanyiwe vipimo kama ilivyo kwa Trump ni ushauri wang tu jamani
Kweli kabisa.. Hii itasaidia, maana Haji atatusaidia kututabilia vitu mbali mbali ambavyo vitatuepusha na majanga mfano baa la njaa, tetemeko n.k
Hata kwa azam alisema hivyohivyo...so hatumshangai hata kdg.. tunajua tu mtt mdg ambae haongei hufikisha message kwa mamaake kwa njia ya kulialia...OVA
Mpaka sasa bado haumshangai?

SASA AKIFA KIPA NA BEKI UWANJANI TUTASHINDA VIPI?
Mkuu.. uliona lakini tumeshinda vipi?



NAKUMBUKA NDIO HUYU HUYU MSIMU ULIOPITA AKASEMA ATAWANYWESHA YANGA SUPU YA MAWE...

BAADA YA DK 90 UBAO UKASOMEKA 2-0.



ROUND YA PILI AKASEMA TENA KUWA ATAWAFANYA WACHEZAJI WA YANGA WALALEBILA VIATU....

BAADA TA DK 90 UBAO UKASOMEKA 2-0.


Naomba apuuzwe tu...najua baada ya tar 25 utasikia mara ohhh refaa kawapendelea. mara ohhh TFF inaibeba Yanga .Mara ohhh Manji katumia pesa...mara ohhh Malinzi anaipendelea Yanga ...

huwa nachekaga kwa mengi sana baada ya game ya aina hii.

Mkuu sana.. bado unampuuza Haji Manara?
Ndiyo tatizo lenu wamatopeni mnaanza kujiaminisha vitu hewa. Mkifungwa mnatafuta mchawi. Mara refa mara kitu gani!
Mtaishia kung'oa viti.
Mkuu.. naona vitu hewa vimegeuka kua halisi.
Kwenda uwanjani Na matokeo Ni kuandaa mazingira ya kung'oa viti. Kuweni makini wa matopeni, msithubutu kutuharibia safari hii, tumechoshwa na mambo yenu
Hatukua makini.. tukaondoka na pointi 3.. vipi ninyi mliokua makini.. mmeondoka na nini jana?
 
hongereni mikia kwa ushindi nadhan hata serikali imefurahi kuona simba imeshinda kwa maana kwamba kama angeshindwa bas tungetarajia kuona uharibifu wa mali.
 
Wakuu zangu, naomba mnisaidie hili suala.. linaniumiza kichwa siku nyingi sana..

Hivi kwanini binadamu hupenda kuambiwa au kusikia anachokipenda.. na kama akitokea akiambiwa tofauti na kile alichokitegemea au hali halisi yenyewe lazima povu limtoke?

Msaada wenu Tafadhali.. Asanteni.

Nakala; Ulimakafu Sibonike na ndugu zao
Kazoea vitamu, vichungu hapendi. Ndo bin Adam alivyo
 
Afe kipa, afe beki, afe kiungo, afe mshambuliaji na hata afe raisssssssss VYURA LAZIMA WAGONGWE
 
Uliona wapi Teja akaua Simba...!!?
ebu tuwe serious kidogo
 


NAKUMBUKA NDIO HUYU HUYU MSIMU ULIOPITA AKASEMA ATAWANYWESHA YANGA SUPU YA MAWE...

BAADA YA DK 90 UBAO UKASOMEKA 2-0.



ROUND YA PILI AKASEMA TENA KUWA ATAWAFANYA WACHEZAJI WA YANGA WALALEBILA VIATU....

BAADA TA DK 90 UBAO UKASOMEKA 2-0.


Naomba apuuzwe tu...najua baada ya tar 25 utasikia mara ohhh refaa kawapendelea. mara ohhh TFF inaibeba Yanga .Mara ohhh Manji katumia pesa...mara ohhh Malinzi anaipendelea Yanga ...

huwa nachekaga kwa mengi sana baada ya game ya aina hii.
Kicheko kinaendelea mkuu?
 
Kwa huo uandishi inadhihirisha jinsi gani kichwani alivyo mweupe.

Alitakiwa aongee kama msemaji wa timu na sio kuweka mipasho.
Hahahah kumbe kwenu inauma eehh? Jerry muro alikuwa anafanyaje hadi mkawa mnashangilia kama wehu kwa maneno yake
 
Back
Top Bottom