Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmelitia aibu kubwa Taifa kwa muda wa takribani miaka 3 au 4.. Kufanya vizuri kwenu ni kuingia katika hatua ya makundi na kushika mkia.. Ngoja msimu ujao tuwaoneshe michuano ya Africa hua unatakiwa ushiriki vipi.. maana katika msimua huu wa VPL.. Afe kipa.. Afe beki.. Simba SC ni bingwa.wenzenu mwaka umeanza tumeanza kupanda ndege kwenda kucheza na mabingwa wenzetu huko nje ya nchi nyie mikia mna kazi ya kutuhadithia mlivyomfunga african lyon huko kwe chandimu yenu
sasa kamamabingwa wenu wametia aibu nyie mngefanya nn bro?Mmelitia aibu kubwa Taifa kwa muda wa takribani miaka 3 au 4.. Kufanya vizuri kwenu ni kuingia katika hatua ya makundi na kushika mkia.. Ngoja msimu ujao tuwaoneshe michuano ya Africa hua unatakiwa ushiriki vipi.. maana katika msimua huu wa VPL.. Afe kipa.. Afe beki.. Simba SC ni bingwa.
Hata kwa azam alisema hivyohivyo...so hatumshangai hata kdg.. tunajua tu mtt mdg ambae haongei hufikisha message kwa mamaake kwa njia ya kulialia...OVA
Nadhan iko haja kwa huyu bwana afanyiwe vipimo kama ilivyo kwa Trump ni ushauri wang tu jamani
Mwacheni Manara ajifariji tu. Kama wanampango wa kupanda ndege msimu ujao basi wakomae na FA tu lakini VPL vidume tumeshatia nanga kileleni
Maneno ya haji yatawaponza mikia....haya heri yake asie itamani ile Siku...
Ninaposoma comments zako mtani nafarijika sana tatizo ni baada ya dakika 90 hapo tarehe 25 utaenda eneo korofi kukupata tena ni majaaliwa
Kuhusu haji hana tofauti na el sahaf yule msemaji wa saadam husein katika gulf war alikuwa na mkwara sana mwisho wa siku unajulikana .
Wakuu zangu, naomba mnisaidie hili suala.. linaniumiza kichwa siku nyingi sana..Manara alipaswa aende kuziba pengo la Mzee Yusuph kule kwenye taarab
Mkuu inategemea huo ubingwa mmeuchukua vipi.. Sasa kama Kila siku.. miamala inasoma kwa marefa, viongozi wa shirikisho na hata wachezaji wa timu pinzani.. kwanini msiwe mabingwa?!sasa kamamabingwa wenu wametia aibu nyie mngefanya nn bro?
Issue sio kusikia tusichokipenda hapa, issue ni porojo za kujifariji za Manara. Chukueni kwanza hiyo VPL ndiyo muongeeWakuu zangu, naomba mnisaidie hili suala.. linaniumiza kichwa siku nyingi sana..
Hivi kwanini binadamu hupenda kuambiwa au kusikia anachokipenda.. na kama akitokea akiambiwa tofauti na kile alichokitegemea au hali halisi yenyewe lazima povu limtoke?
Msaada wenu Tafadhali.. Asanteni.
Nakala; Ulimakafu Sibonike na ndugu zao
Mwaka huu si mnasema mko vema, ushauri Wangu kuhusu mechi za kimataifa, hakikisheni mmechukua VPL kwanza, maana bado hakuna uhakika wa nyie Mikia kuchukua, sisi mkichukua ni waungwana tu, maana ni heshima ya nchi kwa timu yoyote Tz kushiriki kimataifa, na mkumbuke miaka 4 hamjafanikiwa....sasa jitahidini sio kuleta Maneno mbofumbofu....mpira mbinu, pesa, ufundi nk...mechi za kimataifa sio vpl, ndo maana usidhani uko vizuri sana mtani...utamaduni wa vpl tofauti na huko kwingineMkuu inategemea huo ubingwa mmeuchukua vipi.. Sasa kama Kila siku.. miamala inasoma kwa marefa, viongozi wa shirikisho na hata wachezaji wa timu pinzani.. kwanini msiwe mabingwa?!
Shukrani kwa ushauri wako Mkuu...Mwaka huu si mnasema mko vema, ushauri Wangu kuhusu mechi za kimataifa, hakikisheni mmechukua VPL kwanza, maana bado hakuna uhakika wa nyie Mikia kuchukua, sisi mkichukua ni waungwana tu, maana ni heshima ya nchi kwa timu yoyote Tz kushiriki kimataifa, na mkumbuke miaka 4 hamjafanikiwa....sasa jitahidini sio kuleta Maneno mbofumbofu....mpira mbinu, pesa, ufundi nk...mechi za kimataifa sio vpl, ndo maana usidhani uko vizuri sana mtani...utamaduni wa vpl tofauti na huko kwingine
.... ila si kwamba sisi ndi tunasema tuko vyema.. Bali ni takwimu ndo zinaongea hivyo.. Sisi tutaanza kuongea baada ya kukabidhiwa mwali wetu.Issue sio kusikia tusichokipenda hapa, issue ni porojo za kujifariji za Manara. Chukueni kwanza hiyo VPL ndiyo muongee
Kuna sehemu manji katajwa?? Au ndo umekuja ili umtajeaendelee na takwimu zake uchwara,aseme simba ndo imecheza michezo mingi zaidi Yao.pia simba imefunga magoli mengi zaidi Yao.mambo ya manji hayahusiani na mechi
Mtani wangu, mkia ni sifa ya mwanaume rijali. Una sifa nyingine utupe mtani wangu? [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Maneno ya haji yatawaponza mikia....haya heri yake asie itamani ile Siku...
Ukweli upi ulioandika? au unajivunia ile sare na mkavunja viti? nadhani utakumbuka kuna lugha ya majigambo pana mwalimu wangu alinifundisha waqt ule baada ya kugundua anakaa nyumbani kwake na jitu moja jinga (mimi )akaamua niende nikafute ujinga ndipo katika harakati hizo nikakutana na ticha huyo acha nikiri kwa majigambo sembo upo vizuri ila na kwa kujichimbia eneo korofi hapa jamiiforum.com hakuna anae jaribu hata kukukaribia.Wakuu zangu, naomba mnisaidie hili suala.. linaniumiza kichwa siku nyingi sana..
Hivi kwanini binadamu hupenda kuambiwa au kusikia anachokipenda.. na kama akitokea akiambiwa tofauti na kile alichokitegemea au hali halisi yenyewe lazima povu limtoke?
Msaada wenu Tafadhali.. Asanteni.
Nakala; Ulimakafu Sibonike na ndugu zao
Mwacheni Manara ajifariji tu. Kama wanampango wa kupanda ndege msimu ujao basi wakomae na FA tu lakini VPL vidume tumeshatia nanga kileleni
HahahaMkuu, jana tumecheza Mpira.. tumegagadua ipasavyo African Lyon.. na kutinga hatua ya robo fainali kombe la shirikisho.. Leo tunaweka maneno.