Haji Manara: Afe kipa, afe beki. Kufungwa watafungwa tu

wenzenu mwaka umeanza tumeanza kupanda ndege kwenda kucheza na mabingwa wenzetu huko nje ya nchi nyie mikia mna kazi ya kutuhadithia mlivyomfunga african lyon huko kwe chandimu yenu
 
Mmelitia aibu kubwa Taifa kwa muda wa takribani miaka 3 au 4.. Kufanya vizuri kwenu ni kuingia katika hatua ya makundi na kushika mkia.. Ngoja msimu ujao tuwaoneshe michuano ya Africa hua unatakiwa ushiriki vipi.. maana katika msimua huu wa VPL.. Afe kipa.. Afe beki.. Simba SC ni bingwa.
 
sasa kamamabingwa wenu wametia aibu nyie mngefanya nn bro?
 
Hata kwa azam alisema hivyohivyo...so hatumshangai hata kdg.. tunajua tu mtt mdg ambae haongei hufikisha message kwa mamaake kwa njia ya kulialia...OVA

Nadhan iko haja kwa huyu bwana afanyiwe vipimo kama ilivyo kwa Trump ni ushauri wang tu jamani

Mwacheni Manara ajifariji tu. Kama wanampango wa kupanda ndege msimu ujao basi wakomae na FA tu lakini VPL vidume tumeshatia nanga kileleni

Maneno ya haji yatawaponza mikia....haya heri yake asie itamani ile Siku...

Ninaposoma comments zako mtani nafarijika sana tatizo ni baada ya dakika 90 hapo tarehe 25 utaenda eneo korofi kukupata tena ni majaaliwa
Kuhusu haji hana tofauti na el sahaf yule msemaji wa saadam husein katika gulf war alikuwa na mkwara sana mwisho wa siku unajulikana .

Manara alipaswa aende kuziba pengo la Mzee Yusuph kule kwenye taarab
Wakuu zangu, naomba mnisaidie hili suala.. linaniumiza kichwa siku nyingi sana..

Hivi kwanini binadamu hupenda kuambiwa au kusikia anachokipenda.. na kama akitokea akiambiwa tofauti na kile alichokitegemea au hali halisi yenyewe lazima povu limtoke?

Msaada wenu Tafadhali.. Asanteni.

Nakala; Ulimakafu Sibonike na ndugu zao
 
sasa kamamabingwa wenu wametia aibu nyie mngefanya nn bro?
Mkuu inategemea huo ubingwa mmeuchukua vipi.. Sasa kama Kila siku.. miamala inasoma kwa marefa, viongozi wa shirikisho na hata wachezaji wa timu pinzani.. kwanini msiwe mabingwa?!
 
Wakuu zangu, naomba mnisaidie hili suala.. linaniumiza kichwa siku nyingi sana..

Hivi kwanini binadamu hupenda kuambiwa au kusikia anachokipenda.. na kama akitokea akiambiwa tofauti na kile alichokitegemea au hali halisi yenyewe lazima povu limtoke?

Msaada wenu Tafadhali.. Asanteni.

Nakala; Ulimakafu Sibonike na ndugu zao
Issue sio kusikia tusichokipenda hapa, issue ni porojo za kujifariji za Manara. Chukueni kwanza hiyo VPL ndiyo muongee
 
Mwaka huu si mnasema mko vema, ushauri Wangu kuhusu mechi za kimataifa, hakikisheni mmechukua VPL kwanza, maana bado hakuna uhakika wa nyie Mikia kuchukua, sisi mkichukua ni waungwana tu, maana ni heshima ya nchi kwa timu yoyote Tz kushiriki kimataifa, na mkumbuke miaka 4 hamjafanikiwa....sasa jitahidini sio kuleta Maneno mbofumbofu....mpira mbinu, pesa, ufundi nk...mechi za kimataifa sio vpl, ndo maana usidhani uko vizuri sana mtani...utamaduni wa vpl tofauti na huko kwingine
 
Shukrani kwa ushauri wako Mkuu...
Issue sio kusikia tusichokipenda hapa, issue ni porojo za kujifariji za Manara. Chukueni kwanza hiyo VPL ndiyo muongee
.... ila si kwamba sisi ndi tunasema tuko vyema.. Bali ni takwimu ndo zinaongea hivyo.. Sisi tutaanza kuongea baada ya kukabidhiwa mwali wetu.
 
Maneno ya haji yatawaponza mikia....haya heri yake asie itamani ile Siku...
Mtani wangu, mkia ni sifa ya mwanaume rijali. Una sifa nyingine utupe mtani wangu? [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Wakuu zangu, naomba mnisaidie hili suala.. linaniumiza kichwa siku nyingi sana..

Hivi kwanini binadamu hupenda kuambiwa au kusikia anachokipenda.. na kama akitokea akiambiwa tofauti na kile alichokitegemea au hali halisi yenyewe lazima povu limtoke?

Msaada wenu Tafadhali.. Asanteni.

Nakala; Ulimakafu Sibonike na ndugu zao
Ukweli upi ulioandika? au unajivunia ile sare na mkavunja viti? nadhani utakumbuka kuna lugha ya majigambo pana mwalimu wangu alinifundisha waqt ule baada ya kugundua anakaa nyumbani kwake na jitu moja jinga (mimi )akaamua niende nikafute ujinga ndipo katika harakati hizo nikakutana na ticha huyo acha nikiri kwa majigambo sembo upo vizuri ila na kwa kujichimbia eneo korofi hapa jamiiforum.com hakuna anae jaribu hata kukukaribia.
 
Namuelewa sana Manara ana akili sana uyu jamaa anajua kundi linalomsikiliza linataka nini basi na yeye anapita nao umo umo anawaacha wanakenua mwisho wa msimu wanamaliza mikono mitupu anawaandalia ngojera nyingine wanakenua tena hawa mashabiki wa simba kama watoto vile waimbishe nyimbo kibao wape pipi basi inatosha.
Viva Manara....Viva Manara...!
 
Mwacheni Manara ajifariji tu. Kama wanampango wa kupanda ndege msimu ujao basi wakomae na FA tu lakini VPL vidume tumeshatia nanga kileleni

NAKUMBUKA NDIO HUYU HUYU MSIMU ULIOPITA AKASEMA ATAWANYWESHA YANGA SUPU YA MAWE...

BAADA YA DK 90 UBAO UKASOMEKA 2-0.

ROUND YA PILI AKASEMA TENA KUWA ATAWAFANYA WACHEZAJI WA YANGA WALALEBILA VIATU....

BAADA TA DK 90 UBAO UKASOMEKA 2-0.

Naomba apuuzwe tu...najua baada ya tar 25 utasikia mara ohhh refaa kawapendelea. mara ohhh TFF inaibeba Yanga .Mara ohhh Manji katumia pesa...mara ohhh Malinzi anaipendelea Yanga ...

huwa nachekaga kwa mengi sana baada ya game ya aina hii.
 
Ndiyo tatizo lenu wamatopeni mnaanza kujiaminisha vitu hewa. Mkifungwa mnatafuta mchawi. Mara refa mara kitu gani!
Mtaishia kung'oa viti.
 
Back
Top Bottom