Observer
JF HQ
- Oct 18, 2006
- 189
- 299
Msemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh milioni 20.
Manara amekumbwa na adhabu hiyo kutokana na sakata lake na Mwenyekiti wa TFF.
====
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemfungia Msemaji Klabu ya Yanga, Haji Manara kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh. milioni 20
Amekutwa na hati kwa makosa ya kumvunjia heshima Rais wa TFF, Wallace Karia kwenye fainali ya ASFC kati ya Yanga na Coastal Jijini Arusha