Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Mbona amepewa adhabu ndogo sanaaa!?? Ingekuwa msemaji wa lipuli ameyafanya haya angepewa adhabu iyooo, tutakata rufaaa adhabu iongezwe ..#kipimokilekile
 
Hivi uwezekano wa kukata rufaa si upo ?
Ili adhabu iongezwe iwe kubwa zaidi
 
Ila faini ya milioni 20 aisee sio mchezo...wajumbe hapa kwakweli wamekurupuka.

Miaka 2 mingi kwa mtu mweledi ila kwa Manara kwa sababu ya ushenzi wake anastahili zaidi ya hiyo.

Ila wasomali noma [emoji16][emoji16] HAJAJIFUNZA KWA AL SHABABY
Ndugu ingekuwa milioni 5, Ni wazi miaka angechezea mingi zaidi sio chini ya 5.
 
Hamna povu lolote..ni vile hapo utopolon hamjui sheria za FIFA...sasa unaona ulichouliza hapo juu ni kitu anachouliza mtu anaejua mpira kwel?au tangazo hujalisoma umekimbilia tu ku comment?
Najua fitna za hapo 🦁lunyasi
 
Makolo msifurahi tarehe 13 kipigo kipo palepale.
 
kwanza ktk hali ya kawaida, TFF imetoa wapi power ya kumwadhibu mtu ktk soka la nje ya nchi? Ukiangalia haya makosa ya maamuzu unagundua kuwa maamuzi yamefanyika kwa hasira na hisia badala ya weledi. Rais wa TFFF ametumia madaraka yake vibaya kumwadhibu mtu aliyemchokoza mwenyewe
 
Ilitakiww kuchunga mdomo angeyajua hayo
 
Kwahyo hata wiki la mwananchi hatokuwa MC?
 
Ina maana ule msamaha ulikataliwa ?...Yanga ni vyema wamkatie rufaa muhamasishaji wao.
Matola Tate Mkuu ukikaidi utapigwa2
Shadeeya
Ni jambo zuri tu kwake. Haji Manara kwa upande wangu namchukulia kama mchumia tumbo tu. Na kwa shabiki yeyote yule wa Yanga hawezi kumsahau kwa zile kejeli zake wakati yuko upande wa pili.

So, to me; it is ok.
 
Kimsingi Tff Nao Wanajiseti Vibaya Sana
.
Sekretarieti hyo² ya Tff ambayo inapeleka Shitaki Kwa Kamati ya Maadili ambayo nayo Ni Ya Tff. Unategemea Nini Hapo?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Wallace Karia naye anajifanya kama mungu mtu pale TFF. Kila anayemkosoa basi lazima amshughulikie ipasavyo.

Halafu mtu mwenyewe kwanza siyo mzawa! Hajawahi kucheza mpira wa miguu ligi yoyote ile! I wish wachezaji wa zamani waangalie namna ya kuirudisha TFF mikononi mwao.
 
Mmoja wa Wana🦁 waliomhujumi Mnara boy🏃

Ndio wivu wa ubingwa wa kihistoria na mafanikio baada ya kuwa bwaga Wana Lunyasi🦁.🤸
Huo "msukule" nasikia ndio unatembea na ubingwa. Popote utakapoenda Basi ubingwa lazima uende"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…