Haji Manara agombana na Rais wa TFF, Wallace Karia jukwaani

Haji Manara agombana na Rais wa TFF, Wallace Karia jukwaani

Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za Karia zinaanzia kifungo cha maisha na kuendelea.

Lakini, hivi huyu jamaa ana matatizo gani, kwanini hana nidhamu wakati amesoma madrasa na Quran anaijua vzr sana, dini anaijua lakini mshkaji hana hekima, hana adabu, hana haya, anajiona mjuaji, yeye yuko tayari kumvunjia heshima babake au ndugu yake yoyote isipokuwa G.M tu, yaani wale wanaomlipa mshahara ndio anawaona wa maana sana kuliko wengine, huyu jamaa mwisho wake utakuwa mbaya sana.

Karia, nakushauri mpeleke kamati ya maadili mtu huyu, heshima yako Leo imepungua sana jukwaani, umedhalilishwa mbele ya waziri wa afya, mbele ya mkuu wa mkoa wa Tanga na viongozi wengine.Pole sana Karia.

Matusi hayo ni yapi?
 
Kudadadeq walahi
 

Attachments

  • 1659357685127.jpg
    1659357685127.jpg
    22.4 KB · Views: 4
MANARA AMUOMBA RADHI WAZIRI WA MICHEZO
Mwanzo alikuwa mbishi sasa naona anaanza kuamini kuwa Yanga bila yeye inawezekana
 

Attachments

  • K7p0Fn8d2Qzz-6cp.mp4
    1.6 MB
Back
Top Bottom