CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Hilo siyo jibu mkuu , hata ukininyima hiyo connection ya kujua majina ya hivyo vyuo haitalisha familia yanguUnataka kujua ili iweje au itakuongezea utajiri?? Au ukijua itakuwezesha kuilisha familia yako?
Anaongeaga kama kuli wa malori au konda,haowezekani amesoma yule ,ni vizuri tufahamu chuo gani imazalisha wasomi wa vileUnataka kujua ili iweje au itakuongezea utajiri?? Au ukijua itakuwezesha kuilisha familia yako?
Ndugu yangu hili swali ukiuliza hapa chawa wake wanakuwa wakali na cha kushangaza hayo mahojiano kila siku redioni na Tv hakuna hata mtangazaji mmoja aliyewahi kuuliza majina ya vyuo na mwaka sijui huwa wanaongea OFF MIC kwamba wakaushe wasiulize na waandishi TAKATAKA walivyo na njaa sasa wakishikishwa bahasha za khaki kimyaaaAnaongeaga kama kuli wa malori au konda,haowezekani amesoma yule ,ni vizuri tufahamu chuo gani imazalisha wasomi wa vile
sidhani hata chuo cha Buza kama kasoma labda kufundisha madrasa ndiyo elimu yake maana hilo ndilo eneo analoringiaAlisoma AMAZON COLLEGE campus ya UK kama umetokea posta panda gari za gongo la mboto zile ndefu eicher ukisikia konda anaita ukonga banana gongo la mboto, panda hiyo mwambie ashushe Ukonga.
Nilimsikia akihojiwa na Millard ayo last month alisema anayo degree ya mass communication toka university ya south africa na advance diploma ya politics kasomea university huko china na kuna chawa wake hapa naitwa matola juzi alidai jamaa akiwa form four alipata division 1 ya points 7 sasa jichanganye uombe majina ya hivyo vyuo na mwaka aliosoma na jina la hiyo shule aliopiga division 1 utasikia KWANI UKIJUA MAJINA YA VYUO NDIYO ITALETA KULA YA FAMILIA YAKO? WEWE MANARA HUMUWEZI ANA HELA NYINGI...ACHA MAMBO YA KIKE KUFATILIA YASIYOKUHUSU yaani hapo kosa ni kuwasaidia waandishi takataka wanaoshindwa hata kumuuliza majina ya vyuo wakati akiwa anajimwambafai kwenye interviewsmanara mpiga dufu kasomea wapi !
Shangaa kabla Mo hajaingia jamaa alikuwa msemaji wa simba alikuwa kama kuku mwenye ugonjwa baada ya hela za Mo kuanza kuleta mafanikio simba na yeye akaonekana leo anajisifu yeye ndiye alikuwa kila kitu alipelekeshwa na Muro hadi aibuHuyu alibino Jerry Muro ndo kiboko yake
Mawazo yaliyokosa shule na weledi ktk kufikiri.Unataka kujua ili iweje au itakuongezea utajiri?? Au ukijua itakuwezesha kuilisha familia yako?
Halafu ugomvi wake na watu anataka kuufanya wa taasisi anayofanyia kaziShangaa kabla Mo hajaingia jamaa alikuwa msemaji wa simba alikuwa kama kuku mwenye ugonjwa baada ya hela za Mo kuanza kuleta mafanikio simba na yeye akaonekana leo anajisifu yeye ndiye alikuwa kila kitu alipelekeshwa na Muro hadi aibu
Mwaka juzi ile alipigwa dongo dogo tu kuambiwa arudi kufundisha madrasa akaanza kumobilise waislamu eti wametukanwa na Muro mara akamtishia kwenda kumshataki kwa Magufuli yeye kutukana watu anaona raha akiguswa kidogo tu utasikia wametuma watu wanawalipa wanitukane wanichafue jamaa ni Bipolar.
Kidogokidogo jamii ishaanza kumuona ni mtu wa aina gani alitarajia ujinga alioongea jana watu wangelipuka kageuka kituko tu hata huko instagram bado muda kidoogo tutaanza kuwa na wasemaji wenye weledi pumba na mchele zitajitenga tuHalafu ugomvi wake na watu anataka kuufanya wa taasisi anayofanyia kazi
Siku simba alivyopigwa goli 5-0 na As vita kule kinshasa walivyorudi hotelini akawa anataka kupigana na Shaffih dauda, Hans pope akaingilia kati akauliza shida nini?? lopolopo likasema jamaa anaitukana sana simba anaiita Under dogHalafu ugomvi wake na watu anataka kuufanya wa taasisi anayofanyia kazi
Alikuwa amelewaNilimsikia akihojiwa na Millard ayo last month alisema anayo degree ya mass communication toka university ya south africa na advance diploma ya politics kasomea university huko china na kuna chawa wake hapa naitwa matola juzi alidai jamaa akiwa form four alipata division 1 ya points 7 sasa jichanganye uombe majina ya hivyo vyuo na mwaka aliosoma na jina la hiyo shule aliopiga division 1 utasikia KWANI UKIJUA MAJINA YA VYUO NDIYO ITALETA KULA YA FAMILIA YAKO? WEWE MANARA HUMUWEZI ANA HELA NYINGI...ACHA MAMBO YA KIKE KUFATILIA YASIYOKUHUSU yaani hapo kosa ni kuwasaidia waandishi takataka wanaoshindwa hata kumuuliza majina ya vyuo wakati akiwa anajimwambafai kwenye interviews
Kila siku anafanyiwa interviews na press conferences anafanya lakini sijawahi kusikia akiulizwa hili swali kabisa, Jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni msomi aliyebobea
Binafsi nilimsikia kipindi cha amplifier akihojiwa na Millard Ayo akijinasibu kwamba anayo DEGREE YA MASS COMMUNICATION toka university huko south africa na ADVANCED DIPLOMA YA SIASA NA PROPAGANDA toka china
Cha kusikitisha hakuna follow up question iliyofata kabisa ambayo ni: NI MWAKA GANI ULISOMA HIZO COURSE? NI VYUO GANI HIVYO?MAJINA YAKE?????