CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Kila siku anafanyiwa interviews na press conferences anafanya lakini sijawahi kusikia akiulizwa hili swali kabisa, Jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni msomi aliyebobea.
Binafsi nilimsikia kipindi cha amplifier akihojiwa na Millard Ayo akijinasibu kwamba anayo DEGREE YA MASS COMMUNICATION toka university huko south africa na ADVANCED DIPLOMA YA SIASA NA PROPAGANDA toka china.
Cha kusikitisha hakuna follow up question iliyofata kabisa ambayo ni: NI MWAKA GANI ULISOMA HIZO COURSE? NI VYUO GANI HIVYO?MAJINA YAKE?????