Haji Manara alivyomuharibia Antonio Nugaz maisha, yupo Magomeni anauza nguo

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem)

Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii, kipindi alikimudu kwelikweli. Yanga wakamuona wakampa mkataba yeye na Hassan Bumbuli.

Augost 2021 Haji Manara huyu hapa Yanga,yalipigwa majungu na figisu za hatari, Antonia akatimuliwa, sasa yuko magomeni anauza nguo, angalau Bumbuli yuko bank fulani hivi department ya mawasiliano ya umma

Malipo hapahapa duniani
 
Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night alliwance(per diem)
Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii,kipindi alikimudu kwelikweli.
Yanga wakamuona wakampa mkataba yeye na Hassan Bumbuli.
Augost 2021 Haji Manara huyu hapa Yanga,yalipigwa majungu na figisu za hatari,Antonia akatimuliwa,sasa yuko magomeni anauza nguo,angalau Bumbuli yuko bank fulani hivi department ya mawasiliano ya umma

Malipo hapahapa duniani
Mtembezi
 
Antonio nugaz sio mpemba, pia kuuza nguo kuna ubaya gani?

Alafu kosa la manara lipo wapi? Kosa ni hiyo taasisi kumuajjri manara. Kama manara anaweza kumharibia mwingine basi tatizo lipo kwa taasisi
Utafananisha kuuza nguo kwa mtaji wa milioni hata 10 sawa na ile kazi yake ya utangazaji au alivyokuwa Yanga.
Kuuza nguo si mbaya ila kucomoare na akipotoka ni mbaya
 
Huo mtaji milion 10 umejuaje?
Pia hapo wa kumlaumu sio manara, Bali viongozi wa hiyo taasisi maana wao ndio wanaofanya maamuzi wamchukue Nani na wamuache nani.
Mfano Leo hii mm nikija kwenye taasisi uliyopo na nikakuondoa, basi tatizo sio mimi bali ni uongozi wa hiyo taasisi
 
Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem)
Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii,kipindi alikimudu kwelikweli.
Yanga wakamuona wakampa mkataba yeye na Hassan Bumbuli.
Augost 2021 Haji Manara huyu hapa Yanga,yalipigwa majungu na figisu za hatari,Antonia akatimuliwa,sasa yuko magomeni anauza nguo,angalau Bumbuli yuko bank fulani hivi department ya mawasiliano ya umma

Malipo hapahapa duniani
😂😂😂😂😂😂 soon atawaharibia kina alikamwe
 
Huo mtaji milion 10 umejuaje?
Pia hapo wa kumlaumu sio manara, Bali viongozi wa hiyo taasisi maana wao ndio wanaofanya maamuzi wamchukue Nani na wamuache nani.
Mfano Leo hii mm nikija kwenye taasisi uliyopo na nikakuondoa, basi tatizo sio mimi bali ni uongozi wa hiyo taasisi
Maofisini kuna majungu sana ,usipokuwa makini unaharibu taasisi,GSM kuna wakati hawapo professional ushahidi upo,
Kuhusu milioni 10 nimetoa mfano maana duka linajulikana halina mtaji mkubwa ki hivyo,
 
Kama nikipiga majungu na nikapata nafasi kubwa tena kwa kufukuzwa mtu, basi hapo tatizo ni uongozi wa hiyo taasisi
 
Back
Top Bottom