mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #41
Ile alifanya betting mkeka ukachanika,katika utafutaji wa naisha hayo hutokea,pole yakeKuna kipindi inasemekana nugaz alikuwa akipokea pesa nyingi zaidi clouds kutokana na commission ya matangazo aliyokuwa akipewa..
Kama aliacha inamaanisha aliona potential ya Yanga na kama mambo hayakwenda vizuri. Kurudi clouds sidhani kama ingekuwa rahisi maana alikuwa Tv presenter na kwa clouds, TV yao ni by the way tu. Pia hakuwa na influence kama ya millard so, kurudi kwake kusingeleta impact kubwa sana