Haji Manara alivyomuharibia Antonio Nugaz maisha, yupo Magomeni anauza nguo

Haji Manara alivyomuharibia Antonio Nugaz maisha, yupo Magomeni anauza nguo

Kwanini hakurudi clouds kama alikuwa potential,unapofanya kazi ya kuajiriwa inabidi uishi kwa tahadhari,usijisahau kama kazi ipo milele.
 
Ikiwa taasisi inaweza kukuachisha kazi kisa majungu basi shida ni ya taasisi wala sio ya mtoa majungu,mpaka hapo hujanishawishi
 
Kwanini hakurudi clouds kama alikuwa potential,unapofanya kazi ya kuajiriwa inabidi uishi kwa tahadhari,usijisahau kama kazi ipo milele.

Itakuwa yeye anafurahishwa na kazi ya kuwa self-employed

Maana Nugaz ni potential sana katika MEDIA hawezi kukosa kazi
 
Maofisini kuna majungu sana ,usipokuwa makini unaharibu taasisi,GSM kuna wakati hawapo professional ushahidi upo,
Kuhusu milioni 10 nimetoa mfano maana duka linajulikana halina mtaji mkubwa ki hivyo,
Sema mkuu daslm duka ni ofisi tu ya mtu kupatikana ili mambo mengine yaende fatilia hilo utakuja kujua...
 
Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem)

Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii,kipindi alikimudu kwelikweli. Yanga wakamuona wakampa mkataba yeye na Hassan Bumbuli.

Augost 2021 Haji Manara huyu hapa Yanga,yalipigwa majungu na figisu za hatari,Antonia akatimuliwa,sasa yuko magomeni anauza nguo,angalau Bumbuli yuko bank fulani hivi department ya mawasiliano ya umma

Malipo hapahapa duniani
Maisha ni safari ndefu.......
 
Itakuwa yeye anafurahishwa na kazi ya kuwa self-employed

Maana Nugaz ni potential sana katika MEDIA hawezi kukosa kaz
Itakuwa yeye anafurahishwa na kazi ya kuwa self-employed

Maana Nugaz ni potential sana katika MEDIA hawezi kukosa kazi
Binafsi naona mchango wake kwenye media ulikuwa super kuliko kule yangwa
 
Kuna kipindi inasemekana nugaz alikuwa akipokea pesa nyingi zaidi clouds kutokana na commission ya matangazo aliyokuwa akipewa..

Kama aliacha inamaanisha aliona potential ya Yanga na kama mambo hayakwenda vizuri. Kurudi clouds sidhani kama ingekuwa rahisi maana alikuwa Tv presenter na kwa clouds, TV yao ni by the way tu. Pia hakuwa na influence kama ya millard so, kurudi kwake kusingeleta impact kubwa sana
 
Kama anauza nguo kuna tatizo gani? Hata Vunjabei anauza nguo. Mwanaume kulia kuwa umeharibiwa maisha ni udhaifu mkubwa. Ukishakuwa mwanaume lazima ujipambanie kwasababu hakuna mtu atakuja kukuokoa. Sijaona kosa la Manara.
 
Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem)

Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii,kipindi alikimudu kwelikweli. Yanga wakamuona wakampa mkataba yeye na Hassan Bumbuli.

Augost 2021 Haji Manara huyu hapa Yanga,yalipigwa majungu na figisu za hatari,Antonia akatimuliwa,sasa yuko magomeni anauza nguo,angalau Bumbuli yuko bank fulani hivi department ya mawasiliano ya umma

Malipo hapahapa duniani
Mtu kaita waganga Rufiji nzima unafanya mchezo?
 
Antonio nugaz anaitwa juma,alikua o level wakati nipo a level shule moja jijini dar
Hawa watu wa dini ya mwarabu hupenda Sana kubadilisha majina Yao yaonekane ya ki marekani

🔹 Juma anajiita ANTONIO

🔹 Jumanne anajiita Jfour

🔹Mohamed anajiita muddy

🔹 Omari anajiita Omy

🔹Ramadhani anajiita Ramsow

🔹Hamisi anajiita Holmes

🔹 Shabani anajiita Shelby duu
 
Back
Top Bottom