Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Huyo labda alipeleka idea ya kipindi kwa hiyo lazma wakuombe demo. Na baada ya hapo lazma mkubaliane katika gharama za kipindi na earningsSiku hizi kabla hujapew kipindi, unaanda bajeti gani mchanganuo wa fedha na mahitaj. Alafu Wenye broadcast yao wanakwambia kwenye bajeti ile watakava asilimia les than 30%. Zilizobaki utafte mdhamin nje huko.
Kuja jama yangu aliwah kufatilia pale Dstv mwaka hu
Sasa hapo watu kama salama, unaweza kuta hawataki ku_share gharama za kipindi na pia wananunua muda mfano 30 minutes.. Halafu wanatafuta mdhamini wao wenyewe kwa hiyo wanakuwa wanailipa media directly. Kwa beginners ndio hukuta hayo masharti
Ila kama mtangazaji kaajiriwa. Hizo conditions huwa hakuna japo sina experience na DSTV