MtembeziAntonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night alliwance(per diem)
Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii,kipindi alikimudu kwelikweli.
Yanga wakamuona wakampa mkataba yeye na Hassan Bumbuli.
Augost 2021 Haji Manara huyu hapa Yanga,yalipigwa majungu na figisu za hatari,Antonia akatimuliwa,sasa yuko magomeni anauza nguo,angalau Bumbuli yuko bank fulani hivi department ya mawasiliano ya umma
Malipo hapahapa duniani
Mbona ali kamwe na Ahmed Alli walitoka Azam TV.Alijiharibia yeye mwenyewe anatoka Clouds anaenda Yanga ambako muda wowote unaweza kuambiwa kazi hakuna ..
Antonio nugaz sio mpemba, pia kuuza nguo kuna ubaya gani?Angejikalia zake tu Clouds kipindi alikimudu sana,
Kilikuwa kipindi safi kabisaAngejikalia zake tu Clouds kipindi alikimudu sana,
Utafananisha kuuza nguo kwa mtaji wa milioni hata 10 sawa na ile kazi yake ya utangazaji au alivyokuwa Yanga.Antonio nugaz sio mpemba, pia kuuza nguo kuna ubaya gani?
Alafu kosa la manara lipo wapi? Kosa ni hiyo taasisi kumuajjri manara. Kama manara anaweza kumharibia mwingine basi tatizo lipo kwa taasisi
Huo mtaji milion 10 umejuaje?Utafananisha kuuza nguo kwa mtaji wa milioni hata 10 sawa na ile kazi yake ya utangazaji au alivyokuwa Yanga.
Kuuza nguo si mbaya ila kucomoare na akipotoka ni mbaya
ππππππ soon atawaharibia kina alikamweAntonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem)
Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii,kipindi alikimudu kwelikweli.
Yanga wakamuona wakampa mkataba yeye na Hassan Bumbuli.
Augost 2021 Haji Manara huyu hapa Yanga,yalipigwa majungu na figisu za hatari,Antonia akatimuliwa,sasa yuko magomeni anauza nguo,angalau Bumbuli yuko bank fulani hivi department ya mawasiliano ya umma
Malipo hapahapa duniani
Maofisini kuna majungu sana ,usipokuwa makini unaharibu taasisi,GSM kuna wakati hawapo professional ushahidi upo,Huo mtaji milion 10 umejuaje?
Pia hapo wa kumlaumu sio manara, Bali viongozi wa hiyo taasisi maana wao ndio wanaofanya maamuzi wamchukue Nani na wamuache nani.
Mfano Leo hii mm nikija kwenye taasisi uliyopo na nikakuondoa, basi tatizo sio mimi bali ni uongozi wa hiyo taasisi
Kama nikipiga majungu na nikapata nafasi kubwa tena kwa kufukuzwa mtu, basi hapo tatizo ni uongozi wa hiyo taasisiMaofisini kuna majungu sana ,usipokuwa makini unaharibu taasisi,GSM kuna wakati hawapo professional ushahidi upo,
Kuhusu milioni 10 nimetoa mfano maana duka linajulikana halina mtaji mkubwa ki hivyo,