Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Sam kwani now anafanya kazi gani..?"WAPE SALAMU"
Sifikirii Kama amekosa RADIO kubwa au TV ya kumpa kazi Nugaz
Watu maisha yao yapo too private ni Kama SAM MISAGO alivyoamua kukaa nje ya media na kufanya kazi za kiofisi zaidi.
Sam kwani now anafanya kazi gani..?
Maana naona yupo mule mule kwenye industry now ana media
Aaaaah sawa sawa...Hayupo mbele ya camera ni CEO then yupo na kazi zake za ofisi maana yule ni msomi mkubwa.
Kwanini hakurudi clouds kama alikuwa potential,unapofanya kazi ya kuajiriwa inabidi uishi kwa tahadhari,usijisahau kama kazi ipo milele.
Hapo sawa,sasa mleta uzi mbona kumbebesha mtu lawamaItakuwa yeye anafurahishwa na kazi ya kuwa self-employed
Maana Nugaz ni potential sana katika MEDIA hawezi kukosa kazi
Sema mkuu daslm duka ni ofisi tu ya mtu kupatikana ili mambo mengine yaende fatilia hilo utakuja kujua...Maofisini kuna majungu sana ,usipokuwa makini unaharibu taasisi,GSM kuna wakati hawapo professional ushahidi upo,
Kuhusu milioni 10 nimetoa mfano maana duka linajulikana halina mtaji mkubwa ki hivyo,
Unafikiri Dogo ana Raha?. Kufanya kazi na Manara ni ngumu mmoja ni lazima aondoke Tu.😂😂😂😂😂😂 soon atawaharibia kina alikamwe
Hapo sawa,sasa mleta uzi mbona kumbebesha mtu lawama
Alikua mwalimu kabla ya tv,Hilo duka la nguo linamlipa zaidi ya kukaa yangaAngerudi kwenye TV anafit sana
Maisha ni safari ndefu.......Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem)
Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii,kipindi alikimudu kwelikweli. Yanga wakamuona wakampa mkataba yeye na Hassan Bumbuli.
Augost 2021 Haji Manara huyu hapa Yanga,yalipigwa majungu na figisu za hatari,Antonia akatimuliwa,sasa yuko magomeni anauza nguo,angalau Bumbuli yuko bank fulani hivi department ya mawasiliano ya umma
Malipo hapahapa duniani
Itakuwa yeye anafurahishwa na kazi ya kuwa self-employed
Maana Nugaz ni potential sana katika MEDIA hawezi kukosa kaz
Binafsi naona mchango wake kwenye media ulikuwa super kuliko kule yangwaItakuwa yeye anafurahishwa na kazi ya kuwa self-employed
Maana Nugaz ni potential sana katika MEDIA hawezi kukosa kazi
Mtu kaita waganga Rufiji nzima unafanya mchezo?Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem)
Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii,kipindi alikimudu kwelikweli. Yanga wakamuona wakampa mkataba yeye na Hassan Bumbuli.
Augost 2021 Haji Manara huyu hapa Yanga,yalipigwa majungu na figisu za hatari,Antonia akatimuliwa,sasa yuko magomeni anauza nguo,angalau Bumbuli yuko bank fulani hivi department ya mawasiliano ya umma
Malipo hapahapa duniani
Hawa watu wa dini ya mwarabu hupenda Sana kubadilisha majina Yao yaonekane ya ki marekaniAntonio nugaz anaitwa juma,alikua o level wakati nipo a level shule moja jijini dar