Haji Manara alivyomuharibia Antonio Nugaz maisha, yupo Magomeni anauza nguo

Huyo labda alipeleka idea ya kipindi kwa hiyo lazma wakuombe demo. Na baada ya hapo lazma mkubaliane katika gharama za kipindi na earnings

Sasa hapo watu kama salama, unaweza kuta hawataki ku_share gharama za kipindi na pia wananunua muda mfano 30 minutes.. Halafu wanatafuta mdhamini wao wenyewe kwa hiyo wanakuwa wanailipa media directly. Kwa beginners ndio hukuta hayo masharti

Ila kama mtangazaji kaajiriwa. Hizo conditions huwa hakuna japo sina experience na DSTV
 
Ubaya wa manara ukifanya nae kazi sehemu moja ye anakuloga unachukia kazi kila ukiamka unaona kazi mbaya ukikaribia ofisini unaona kama unaenda kituo cha polisi unakimbia mwenyewe
 
wewe huna akili,kwanza nugaz sio mpemba ni mtanga,pale magomeni ana duka lake na lina mtani mkubwa sana,anapiga pesa nyingi tu
 
Laki 5? Unaongea ukweli au unatania?
 
Laki 5? Unaongea ukweli au unatania?
Mkuu kama unakumbuka kuna kipindi zilivuma story za maulid kitenge kulipwa laki sita wasafi fm..

Watangazaji wengi wanalipwa hizo pesa na kwa hizi media zenye brand ndogo au zile za mikoani. Unaweza kuta wanaolipwa 200k-300k wanahesabika maana wengine wana volunteer tu wakitegemea watapata majina..

Clouds fm wengi wamekaa muda mrefu kwa sababu media inawapa exposure na brand kubwa za kupata deals. Na hata kama mtu ana biashara yake anaweza kuimention kwenye kipindi chake. Kampuni kama IPP walikuwa rigid sana, uki_mention biashara, utakutana na mtu wa sales ulipie hiyo mention

Hivyo yawezekana mtu akalipwa laki tano maana ni kazi ya muda mfupi kwa siku.. Ila deals za media zikampa zaidi ya M kwa mwezi kama kachangamka
 
Duuu!!! Me nikajua jamaa wanakunja pesa ndefu kuanzia 1M kwenda juu huko
 
Duuu!!! Me nikajua jamaa wanakunja pesa ndefu kuanzia 1M kwenda juu huko
Mkuu watangazaji labda kama kuongezeka kwa media na hype ya kuhamahama iwe imeongeza mshahara. Ila kabla ya hapo haikuwa na, maslahi Ila kwa jina utalopata. Ukifanya vitu vingine kutoboa ni rahisi
 
Nugaz naona bado anaendelea na deals za kufanya matangazo ya Redio na binafsi pia.

Juzi nimepita Kariakoo nilisikia tangazo la Jersey za Simba kupitia brand ya Sandaland

Hopefully itakuwa inamlipa pia
 
Nugaz naona bado anaendelea na deals za kufanya matangazo ya Redio na binafsi pia.

Juzi nimepita Kariakoo nilisikia tangazo la Jersey za Simba kupitia brand ya Sandaland

Hopefully itakuwa inamlipa pia
Hilo tangazo lina muda zaidi ya mitatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…