Haji Manara amepunguziwa adhabu ya Faini kutoka milioni 20 hadi milioni 10

Huyu mbwa wangemfutia kabisa adhabu ya faini badala yake wangemuongezea adhabu afungiwe maisha kujishughulisha na mpira wa miguu
Mwakajana alihudhuria sherehe za wiki ya mwananchi na kufanya utambulisho wa wachezaji wakati akiwa bado kafungiwa ila cha kushangaza TFF hawakumuongezea adhabu yoyote.
Nina uhakika jumamosi ijayo atafanya yaleyale ya kama mwaka jana.

Nasubiri nione kama TFF watafanya chochote
 
Pale Alienda Kama MC Kama ilivyo Kwa Wengine Akina Kitenge Na Dakota
 
Angekuwa na kazi nyingine angeachana na usemaji.

WATU wamemchoka.

A good dancer must know when to leave stage if you stay for too long you will spoil it.

Hakuna Lenye mwanzo likakosa kuwa na mwisho.
 
Back
Top Bottom