Mwakajana alihudhuria sherehe za wiki ya mwananchi na kufanya utambulisho wa wachezaji wakati akiwa bado kafungiwa ila cha kushangaza TFF hawakumuongezea adhabu yoyote.
Nina uhakika jumamosi ijayo atafanya yaleyale ya kama mwaka jana.
Nasubiri nione kama TFF watafanya chochote