Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Kwa mdomo ule yataka moyo kumvumilia, Yule ndogo wake Dc alimuoa kwa mbwembwe harusi ilirushwa live Azam tv. Ndoa imeishia wapi sijui. Kamuona huyo Ruby, ndoa haijadumu hata miezi sita akavuta mke mwingine.
Hayo mapenzi ama fujo!!
Ana shida yule msemaji kwenye ndoa si Hali ya kawaidaa Ile tuwe TU wakweli,Naheeda walisema anasusa Susa anatoroka hapendi ndugu anakimbia,huyu nae anakuja na ngano za kusema eti anasusa amemtoroka mara pafyumu kaahh
Huyo ruby alikua ex wake kakaa Dubai weee kadanga kachoka wamerudiana tu na kuoana sio Kwa mapenzi angekua anampenda asingemuolea ndani ya miezi 6 ya ndoa...
 
Simba.... A Boy from Tandale
 
Mkuu waswahili walisema "usishindane na ulikotoka" utajitesa tu, haya mambo ni kuombea tu upate mwenye kukuheshimu, hawa viumbe hawana dawa wala ujanja wa kuwakomoa, akiamua kukuchezesha matukio hakuna rangi utaacha ona
 
Mkuu waswahili walisema "usishindane na ulikotoka" utajitesa tu, haya mambo ni kuombea tu upate mwenye kukuheshimu, hawa viumbe hawana dawa wala ujanja wa kuwakomoa, akiamua kukuchezesha matukio hakuna rangi utaacha ona
Na ndo maana katika comments za mahusiano nikaandika mwanaume mke wako mwema utampata kwa muumba wako. Ni unatakiwa usali ama kuswali haswa. Ukiwa wataka kutafuta mke ama kuoa jitenge na uchafu kwanza afu muombe Mungu akupe mke.

Ukiwa na imani utampata. Tatizo wanaume wengi mnatumia sana akili zenu wenyewe na macho,mioyo idanganyayo. Naonaga wanawake weng ndo wanaswali ama sali kuolewa na mume mwema lakin wanaume hamjishughulishi mkiamini wanawake wako wengi hamuwezi kukosa mke wa kuoa.

Msichojua wanawake weng saiv ni masecretary wa kuzimu. Anaweza hata kuigiza wife material ili umuweke ndani. Ukishamuweka unaanza kuisoma. Lakin laiti kama kungekuwa na sala ama swala involved..naamin Mungu hawezi kukuchagulia mke mwovu akati anajua wewe kijana wake ni mwema sana.

Lets pray to get eternal spouses. Tutakaozeeka nao kwa mapenzi katika hali zote. Lakin kama unaamin utampata kanisani kwamba ndo mwema..ombe haya, kama unaamini utampata kitambaa cheupe ombe haya...dont trust your heart too much..it can deceive you.
 
Unaweza Kuta mwenye comment hii naye ndoa inampeleka puta,

Dunia hii !!!
 
Akome si alidhani sifa, unaoaje wadala wawili kwa mwaka mmoja...alijikuta mfalme mswati eeh.
Halafu yule mdogo wake na Dc wa Bagamoyo walishaacha au?
Kitambooooo sanaaaa mbna, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo rushy hana uwezo wa kukataa kuliwa kisamvu huyo... Still ni limbukeni tu. Bongo hakuna staa atakayekataa kutoa kisamvu Kwa sponsor wake, labda just mpenzii.. lkn Kwa sponsor hayupooo
.na masponsor huko ndo wanakotaka Ili hata ukitoka umkumbuke vizuriiii
 
Jamaa anapiga madoko c poa kabxa...na ule msura wake lazma wataelewa tu show
Irene anaijua show ya mchizi vizuri..Hadi hua anashnwaga kujizuia akihojiwa anajikuta anamtaja tu jamaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaaa!!!!
Watu na sponsors waooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…