Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Kwa mdomo ule yataka moyo kumvumilia, Yule ndogo wake Dc alimuoa kwa mbwembwe harusi ilirushwa live Azam tv. Ndoa imeishia wapi sijui. Kamuona huyo Ruby, ndoa haijadumu hata miezi sita akavuta mke mwingine.
Hayo mapenzi ama fujo!!
Ana shida yule msemaji kwenye ndoa si Hali ya kawaidaa Ile tuwe TU wakweli,Naheeda walisema anasusa Susa anatoroka hapendi ndugu anakimbia,huyu nae anakuja na ngano za kusema eti anasusa amemtoroka mara pafyumu kaahh
Huyo ruby alikua ex wake kakaa Dubai weee kadanga kachoka wamerudiana tu na kuoana sio Kwa mapenzi angekua anampenda asingemuolea ndani ya miezi 6 ya ndoa...
 
Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel.

Je Haji anachapiwa?

Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao.

Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila haihusiani
Simba.... A Boy from Tandale
 
"Mwanaume hajaumbiwa kuwa na mke mmoja, mwanaume unakuwaje na mke mmoja? Tuige mfano wa Haji na Dr. Mwaka"..walisikika mabraza wa Jf..haya kiko wapi??

Wake wengi ilikua kwa babu zetu buanaa..wanawake wa zamani walikua wanajitunza..no tamaa. Saiv ukiwa na mke zaid ya mmoja hakikisha una hela..sio huyu unampa hiki huyu humpi..haloo, na nguvu ziwepo sio ujifanye huwezi kula nyama moja sku zote afu ukienda kwa bi mdogo ama mkubwa una stress za tozo unapiga kimoja af chali..utachapiwa tu.

Kuwa energetic haswa yani mpaka ifuke moshi, afu ni kwa wote wawili sijui watatu na hela na macare na uwe handsome six pack ndo wanawake wote watakua faithful kwako..unless otherwise utakuwa unaoa na kuacha mpk uje kuingia kaburini..utajikuta umezeeka bila la maana..ulikeshea chinyu maisha yako yote...
#povunikafulienguomie#
Mkuu waswahili walisema "usishindane na ulikotoka" utajitesa tu, haya mambo ni kuombea tu upate mwenye kukuheshimu, hawa viumbe hawana dawa wala ujanja wa kuwakomoa, akiamua kukuchezesha matukio hakuna rangi utaacha ona
 
Na ndo maana katika comments za mahusiano nikaandika mwanaume mke wako mwema utampata kwa muumba wako. Ni unatakiwa usali ama kuswali haswa. Ukiwa wataka kutafuta mke ama kuoa jitenge na uchafu kwanza afu muombe Mungu akupe mke.

Ukiwa na imani utampata. Tatizo wanaume wengi mnatumia sana akili zenu wenyewe na macho,mioyo idanganyayo. Naonaga wanawake weng ndo wanaswali ama sali kuolewa na mume mwema lakin wanaume hamjishughulishi mkiamini wanawake wako wengi hamuwezi kukosa mke wa kuoa.

Msichojua wanawake weng saiv ni masecretary wa kuzimu. Anaweza hata kuigiza wife material ili umuweke ndani. Ukishamuweka unaanza kuisoma. Lakin laiti kama kungekuwa na sala ama swala involved..naamin Mungu hawezi kukuchagulia mke mwovu akati anajua wewe kijana wake ni mwema sana.

Lets pray to get eternal spouses. Tutakaozeeka nao kwa mapenzi katika hali zote. Lakin kama unaamin utampata kanisani kwamba ndo mwema..ombe haya, kama unaamini utampata kitambaa cheupe ombe haya...dont trust your heart too much..it can deceive you.
 
Unaweza Kuta mwenye comment hii naye ndoa inampeleka puta,

Dunia hii !!!
 
Akome si alidhani sifa, unaoaje wadala wawili kwa mwaka mmoja...alijikuta mfalme mswati eeh.
Halafu yule mdogo wake na Dc wa Bagamoyo walishaacha au?
Kitambooooo sanaaaa mbna, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bosi wa WCB, Diamond Platnumz amemliwaza msemaji wa klabu ya Yanga SC YA nchini Tanzania, Haji Manara kufuatia madai ya kuachwa na mke wake wa pili.
Siku za hivi karibuni, Manara amekuwa akionekana na mke wake wa kwanza pekee, tofauti na hapo awali ambapo alikuwa akijigamba na wake zake wote wawili. Duru za kuaminika zinaarifu kwamba mke wake wa pili, Rushaynah amemtema.
Diamond sasa amemtia moyo afisa huyo wa soka nchini Tanzania ambaye amekuwa akifanya naye kazi kwa karibu siku za hivi karibuni na kumfahamisha kuwa chochote anachokipitia kwa sasa ni dhoruba ambayo itapita hivi karibuni.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond amemuandikia manara; “Kaka yangu Haji Manara, hili nalo litapita kama mengine yalivyo kwendaga, na kwa ninavyojua ata presha huna, maana sana sana limetuongezea upeo, umaarufu na deals za endorsment kwa kuzungumziwa na nchi 24/7.”
Diamond ameeleza kusikitishwa kwake na watu ambao wamekuwa wakifanya mzaha na kuvunjika kwa ndoa ya Manara.
Amefunguka kuwa watu kuzungumza sana kuhusu masahibu yaliyompata Manara kunaaashiria tu kuwa walikuwa wakiionea gere ndoa yake.
“Ushadadi na tafrija za baadhi ya watu juu ya mtihani wa ndoa ya Bugatti, unaonesha ni kiasi gani walivyokuwa na wivu na husda na ndoa zake, utadhani labda wao walizuiwa kuoa ama kuolewa vile!,” amesema Simba.
Kwa wiki kadhaa, Manara ambaye alikuwa akionekana na wake zake wawili kila sehemu alianza kuonekana na mke wa kwanza tu huku wengi wakiibua maswali kuhusu uwepo wa mke wa pili kwa jina Rushaynah.
Baadaye hata hivyo, mashaka miongoni mwa waliokuwa wakifuatilia ndoa yao yaliendelea kupanda hasa baada ya kubainika kuwa hawafuatani tena kwenye mitandao ya kijamii kama ilivyokuwa hapo awali.
Kitendo hicho kilidhibitisha kwa asilimia kubwa kuwa huenda Rushaynah amejiondoa katika ndoa hiyo ya utatu na katika blogu moja ambayo ilipakia video ya zamani wakichezeana na Manara, Rushaynah mwenyewe alifika pale na kutaka video ile iondolewe mara moja kwani kwa kuiona tu anachefuka.
Kama hilo bado halijapoa, usiku wa kuamkia Jumanne, Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram aliachia ujumbe mrefu akimuomba msamaha mke wake wa kwanza Rubynah kwa kumletea mke wa pili huku pia akimtakia kila la kheri katika safari yake ya ujauzito na kujifungua salama.
Manara alisema pamoja na mke wake wa kwanza, wamedumu kwenye ndoa kwa miaka 7.
STORI NA SIFAEL PAUL, GPL
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa naye sope ana wala wake zake, ko akitokaa kuliwa yeye anaenda lipa kwa wakewe!! Kwanza sio mpyaa mbna walikua wanakulana zam zam na mtangazaji m1 wa Azam Media.

Ndo maana nasemaa kwenye hili wote wahusikaa wakae kmyaaa, watadhalilika vibayaa, tatizo sope anataka kushinda kila battle hajui kumyamaza yaan, waendeleee kufukunyuanaa basha wao anawatazamaa tyuuh. Aone wanaishia wapi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeee.
Huyo rushy hana uwezo wa kukataa kuliwa kisamvu huyo... Still ni limbukeni tu. Bongo hakuna staa atakayekataa kutoa kisamvu Kwa sponsor wake, labda just mpenzii.. lkn Kwa sponsor hayupooo
.na masponsor huko ndo wanakotaka Ili hata ukitoka umkumbuke vizuriiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaaa!!!!
Watu na sponsors waooo.
 
Back
Top Bottom