Si ni kwamba Haji ameachana na Bi mdg nmepata umbea kutoka kwa cocasticKuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel.
Je Haji anachapiwa?
Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao.
Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila haihusiani
Huwa unatoa points sana kwenye comments zako nyingi ila leo sijakufeel kabisa."Mwanaume hajaumbiwa kuwa na mke mmoja, mwanaume unakuwaje na mke mmoja? Tuige mfano wa Haji na Dr. Mwaka"..walisikika mabraza wa Jf..haya kiko wapi??
Wake wengi ilikua kwa babu zetu buanaa..wanawake wa zamani walikua wanajitunza..no tamaa. Saiv ukiwa na mke zaid ya mmoja hakikisha una hela..sio huyu unampa hiki huyu humpi..haloo, na nguvu ziwepo sio ujifanye huwezi kula nyama moja sku zote afu ukienda kwa bi mdogo ama mkubwa una stress za tozo unapiga kimoja af chali..utachapiwa tu.
Kuwa energetic haswa yani mpaka ifuke moshi, afu ni kwa wote wawili sijui watatu na hela na macare na uwe handsome six pack ndo wanawake wote watakua faithful kwako..unless otherwise utakuwa unaoa na kuacha mpk uje kuingia kaburini..utajikuta umezeeka bila la maana..ulikeshea chinyu maisha yako yote...
#povunikafulienguomie#
Watu wanaletaga hadi ushahidi wa picha, siku aliponusa pumbu za azizi ki kwenye siku ya mwananchi sikumuelewa kabisa.Daaah hii dunia hii [emoji87][emoji4]
Mkude au Morrison 😂😂Tusubiri connection tu, Sasa sijui aliyekula ni MO au FeiToto
Thanks na hatujaumbiwa kukamilika 100% right babu...in our inperferctions, our mighty Father perfects us. Ilikua ni mtazamo wangu tu mzee ila kama hujaelewa ama hujaafikiana its fine. Na uzuri umenicorrect so peace and love....ila uachage kupenda inyee sasa 😝😝Huwa unatoa points sana kwenye comments zako nyingi ila leo sijakufeel kabisa.
Nina miaka 76 na nilichojifunza ni kwamba unaweza kumfanyia yote mwanamke - uliyoyataja hapa na mengineyo lakini bado ukachapiwa tu. Tena hawa wa kisasa hawa ndo kabisaa. Unafanya yote haya halafu mkeo anakuja kuliwa na boda, shamba boy au mangi wa hapo jirani. Ukiuliza eti mazoea au matani.....na kusifiwa sifiwa...anti leo umependeza sana...anti umenoga....
Ila uliyosema yanasaidia kupunguza dhahma tu ila nijuavyo mimi kuchapiwa kuko pale pale!
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaNiSiriyaNdani
MnhhhhThanks na hatujaumbiwa kukamilika 100% right babu...in our inperferctions, our mighty Father perfects us. Ilikua ni mtazamo wangu tu mzee ila kama hujaelewa ama hujaafikiana its fine. Na uzuri umenicorrect so peace and love....ila uachage kupenda inyee sasa 😝😝
InterestingMjini kweli hawapendi watu wapendane halafu wajioneshe.... hata kama mnapendana mnapaswa mjifanye hampendani maana wanga wengiii
Mbunye ya mamdogo inafukuliwa sehemu na wahuni 😁😁😁😁 , wahuni sio watu wazur ,Nilitaka nianzishe Uzi apa
Thanks na hatujaumbiwa kukamilika 100% right babu...in our inperferctions, our mighty Father perfects us. Ilikua ni mtazamo wangu tu mzee ila kama hujaelewa ama hujaafikiana its fine. Na uzuri umenicorrect so peace and love....ila uachage kupenda inyee sasa [emoji13][emoji13]
Yeeey nimepata baraka za babuuu. Merci bouque Monsieur...Hapa nimeku-feel poa. Trust me. Huwa nasoma karibu kila kitu chako maana una busara sana na inavyoonekana umesimama katika Neno. Endelea hivyo hivyo...
Kuhusu kupenda inyee hiyo ni kufurahisha baraza tu humu na fantasy ya tangu ujana huko miaka ya sitini. Inyee na miaka 76 wapi na wapi mjukuu wangu?
Mwaka mpya mwema na kila lililo la heri na likakudhihirikie. Stay blessed! [emoji1545]
Hivi mkuu huu umri huwa uko serious au huwa unatuchangamsha tu, nimefuatilia siku nyingi ila sijaamini bado.Hapa nimeku-feel poa. Trust me. Huwa nasoma karibu kila kitu chako maana una busara sana na inavyoonekana umesimama katika Neno. Endelea hivyo hivyo...
Kuhusu kupenda inyee hiyo ni kufurahisha baraza tu humu na fantasy ya tangu ujana huko miaka ya sitini. Inyee na miaka 76 wapi na wapi mjukuu wangu?
Mwaka mpya mwema na kila lililo la heri na likakudhihirikie. Stay blessed! [emoji1545]
Pipoz ipi ?Nitake radhi mkuu, Mimi pipoz,
Miaka 76 na huu usiku unatyping bila ya kukosea na macho umeyatoa kama fundi saa kweny simu...Toa uongo wako hapa!!Hapa nimeku-feel poa. Trust me. Huwa nasoma karibu kila kitu chako maana una busara sana na inavyoonekana umesimama katika Neno. Endelea hivyo hivyo...
Kuhusu kupenda inyee hiyo ni kufurahisha baraza tu humu na fantasy ya tangu ujana huko miaka ya sitini. Inyee na miaka 76 wapi na wapi mjukuu wangu?
Mwaka mpya mwema na kila lililo la heri na likakudhihirikie. Stay blessed! [emoji1545]