myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
🤣🤣Uki comment Uzi huu lazima upate sehemu ya dhambi za umbea huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Uki comment Uzi huu lazima upate sehemu ya dhambi za umbea huu
Amekumegea sababu za kuachana kwao?nmepata umbea kutoka kwa @cocastic
Kwa nini hauamini? Weka uthibitisho unaokufanya usiamini umri wake wakati ni yeye muhusika unayeutaja.Hivi mkuu huu umri huwa uko serious au huwa unatuchangamsha tu, nimefuatilia siku nyingi ila sijaamini bado.
Duh...Hatimae atanyamaza sasa. Mo keshawapanga matajiri wenzie🤣
Hatimae atanyamaza sasa. Mo keshawapanga matajiri wenzie🤣
Duh...Mjini kweli hawapendi watu wapendane halafu wajioneshe.... hata kama mnapendana mnapaswa mjifanye hampendani maana wanga wengiii
Konde boy4.....NANI NEXT..... MAANA binadamu hawajifunzi
Dead serious brother.Hivi mkuu huu umri huwa uko serious au huwa unatuchangamsha tu, nimefuatilia siku nyingi ila sijaamini bado.
Hata ajanambia kabisaAmekumegea sababu za kuachana kwao?
Watz acheni tabia za kuchawiana..Nilitaka nianzishe Uzi apa
Tatizo mapenzi yakiwa moto wanatupostiaWatz acheni tabia za kuchawiana..
Mkuu 76 years sio mchezo ujue.Kwa nini hauamini? Weka uthibitisho unaokufanya usiamini umri wake wakati ni yeye muhusika unayeutaja.
Duhh basi nina ujumbe wako kule PM mzee wangu nimekubali sasa.Dead serious brother.
DoB: 1946 [emoji123][emoji123][emoji123]
Nimecheka hapo kwenye mme wa zamaradi hana ela🤣🤣🤣Mastar wametuchosha na kuanika wapenzi wao wanajifanya sisi tuonekane hatujawahi pendwa.
Shina shida na manara ni mwananchi mwenzangu ila hiyo tabia ya kuanika wake hapana.
Leo kaandika caption ndefu kama mnara wa babeli, akimsifia mke mkubwa.wacha achapiwe.
Hamo na kajala kha! Walijuwa kutuumiza wako wapi?
Naweza kuonekana mnafiki na sipingi ila mtu mwingine ninaemsubiri kwa hamu asage meno ni zamaradi, mme anatundikwa barabarani? Unajinunulia gani urithi wa ruge unatudanganya umenunuliwa? Wadada wa daslam hawajawahi tuangusha siku ipo ilo bango ulilotundika jijini dar utalijutia.
Sema mme wa zamaradi hana hela angekuwa nazo wadada wa mjini wasingechelewa kutuvunja mbavu.
Zile ni ngano tuu kama za lile joka kuu ulizopigiwa na babu yako, ila kwa sababu katoa mzungu basi mnaamini mpaka watoto wenuHawa viumbe ndio walisababisha hadi leo wanaume tunakula kwa jasho. 🙌
Haji ana shida jamani masifa kama yote mke hata miezi minne Bado[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!gubu gubu gubu,nyodo nyodo,nyodo mwanaume mwenye mdomo mdomo kuishi na mke mtihani,mi mwenyewe siwezi Raha ya mwanaume aongee kidogo awe na ukimya flaani hivi mpk rahaMastar wametuchosha na kuanika wapenzi wao wanajifanya sisi tuonekane hatujawahi pendwa.