Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Huwa unatoa points sana kwenye comments zako nyingi ila leo sijakufeel kabisa.

Nina miaka 76 na nilichojifunza ni kwamba unaweza kumfanyia yote mwanamke - uliyoyataja hapa na mengineyo lakini bado ukachapiwa tu. Tena hawa wa kisasa hawa ndo kabisaa. Unafanya yote haya halafu mkeo anakuja kuliwa na boda, shamba boy au mangi wa hapo jirani. Ukiuliza eti mazoea au matani.....na kusifiwa sifiwa...anti leo umependeza sana...anti umenoga....

Ila uliyosema yanasaidia kupunguza dhahma tu ila nijuavyo mimi kuchapiwa kuko pale pale!

#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaNiSiriyaNdani
76 years old..

Humu JF tuheshimiane aisee.
 
Sawasawa nakubaliana na wewe katika hili haipendezi kuanika wenza wetu hasa katika mitandao ya kijamii, nyaki nyaku ziko pale zinasubiri kunyakua, tena mtu ni maarufu [emoji23][emoji23][emoji23]tumewaona wengi na waliangukia pua

Hata kutambulisha mashosti bwana ako haitakiwi labda awe mume na ukiwa na mume shosti wa nini, mi ndo maana naonekana naringa huwezi kujua mapito yangu labda niamue kukusimulia ila katika vitu sivitaki ni ke kuzoeana na mtu wangu hata kwa kumtizama picha tu sitaki,
Hadi kutazama picha! [emoji3]
 
Unaweza ukanitambulisha kwake tuwe tunapiga stori za enzi zetu?

Kujichanganya humu na vijana inasaidia sana. Tunakuwa up to date na matukio yote, tunajifunza pigo zenu wa kizazi kipya na pisi zenu hizi za mchongo. Na mind yetu inakuwa sharp balaa. Siyo mtu unazeeka unakuwa grumpy and bitter no! Mtuvumilie tu kwa sababu hakuna namna!
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16]shimbaaaa daahhh!!!
Babuuuu umenifurahishaa
 
Sawasawa nakubaliana na wewe katika hili haipendezi kuanika wenza wetu hasa katika mitandao ya kijamii, nyaki nyaku ziko pale zinasubiri kunyakua, tena mtu ni maarufu 😂😂😂tumewaona wengi na waliangukia pua

Hata kutambulisha mashosti bwana ako haitakiwi labda awe mume na ukiwa na mume shosti wa nini, mi ndo maana naonekana naringa huwezi kujua mapito yangu labda niamue kukusimulia ila katika vitu sivitaki ni ke kuzoeana na mtu wangu hata kwa kumtizama picha tu sitaki,
Mimi nitaishia kukusimulia tu kama nni shoga yangu nitasema niko na fulani, na vile napendaga mbali mbali na siweziposti basi ni kibaki na labda, siwezi tangaza myu wangu.
 
Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel.

Je Haji anachapiwa?

Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao.

Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila haihusiani
Hivi Mke anatorokaje? Huyo amerudi kwa mtu wake wa zamani tu.
 
Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel.

Je Haji anachapiwa?

Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao.

Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila haihusiani
huwezi kukuta mwanamke anashare mwanaume na mawanamke mwigine halafu wawe marafiki wanamcezea ila kuna wanaume wao ambao wanao huyu manara ni kwa ajili ya mahiaji...and besides that its tight than you could ever think
 
Back
Top Bottom