cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wee best sasa kwa manara kuna mwanamke anasema ni "mume wangu" na ana maanishaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila rushyna mkorofi na kibri sana bwana
Sio wife material kabisa.
Kiafrica ukitaka ndoa na hyo ndoa idumu lazima mwanamke u surrender baadhi ya haki zako...na pia kutimiza wajibu flani flani.
Tena ashukuru hata dubai alikuwa anapelekwa...wengine hata kwenye chips za mgosi hapelekwi na bado matusi na kipigo juu.
Hapanaaaaa