Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

Masikini ndivyo walivyo mkuu.
Unaona kina Mo, Bilgate,Elon musk, Bilgate wanafanya hayo maujinga???
 
Sawa kijana. Mi nakushauri tu kuwa hiyo kampani uliyo nayo sasa haikufai. Kila mara naona unaandika andika mambo ya hovyo ya kike kike sana. Mi nlikuwa naona kama ni jinsia ya kiume.....anyway sijui. Kama ulivyosema nisikuingilie mambo yako. Nimekushauri tu kijana.sisi wazee tumeona mbali. Na dalili ya mvua ni mawingu.
 
Tusikalili maisha njia za kutafuta pesa ni nyingi now days hiyo napenda jamaa anavyotengeneza pesa bila watu kujua pesa anapataje

Anatumia mil 100 kwa mwaka kujitangaza huku akisubiri dili zenye thamani zaidi ya hiyo
 
Huna ujuacho wewe pita HV faster kadange uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…