Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday na kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night? Halafu baadae miezi miwili unachwa na kuanza kulalamikia wanawake.

Hivi wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa sasa mwanangu cheupe tumechoka na ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho.

Huenda Manara ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mambo Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa, sawa pesa natafuta sana ila siyo kufanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792
Masikini ndivyo walivyo mkuu.
Unaona kina Mo, Bilgate,Elon musk, Bilgate wanafanya hayo maujinga???
 
Sasa mzee unaandika nn hap kwa herufi kubwa na bold juu nonsense

Wewe toa hoja tembeaa acha kuandika kwa heruf kubwa. Kingine Kama upendi hoja zangu mzee zijakulazimisha ukomenti wala kusoma ukiona nimeleta Jambo huku usiwe una Soma mkuu nenda kasome hoja unazo zipenda siyo lazm upendi Visa vyangu

Kila siku unalalamika as if nimekuita usome na kukoment
Sawa kijana. Mi nakushauri tu kuwa hiyo kampani uliyo nayo sasa haikufai. Kila mara naona unaandika andika mambo ya hovyo ya kike kike sana. Mi nlikuwa naona kama ni jinsia ya kiume.....anyway sijui. Kama ulivyosema nisikuingilie mambo yako. Nimekushauri tu kijana.sisi wazee tumeona mbali. Na dalili ya mvua ni mawingu.
 
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday na kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night? Halafu baadae miezi miwili unachwa na kuanza kulalamikia wanawake.

Hivi wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa sasa mwanangu cheupe tumechoka na ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho.

Huenda Manara ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mambo Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa, sawa pesa natafuta sana ila siyo kufanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792
Tusikalili maisha njia za kutafuta pesa ni nyingi now days hiyo napenda jamaa anavyotengeneza pesa bila watu kujua pesa anapataje

Anatumia mil 100 kwa mwaka kujitangaza huku akisubiri dili zenye thamani zaidi ya hiyo
 
Sawa kijana. Mi nakushauri tu kuwa hiyo kampani uliyo nayo sasa haikufai. Kila mara naona unaandika andika mambo ya hovyo ya kike kike sana. Mi nlikuwa naona kama ni jinsia ya kiume.....anyway sijui. Kama ulivyosema nisikuingilie mambo yako. Nimekushauri tu kijana.sisi wazee tumeona mbali. Na dalili ya mvua ni mawingu.
Huna ujuacho wewe pita HV faster kadange uko
 
Back
Top Bottom