dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
- #181
Mtumba mji wa kiserekali dodomaila unateseka ukiwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtumba mji wa kiserekali dodomaila unateseka ukiwa wapi?
Hahahaha hahahahaYes mama yake kamkabidhi kiwanja na kamsisitiza ajenge ndivyo alivyomuhasa na pia "TEAM KARIAKOO" ikiongozwa na Muhidin Issa Michuzi wamemwambia akishajenga watampa mabati ya nyumba nzima.
Bora yey anawatu wa kumpa mabati na tofali sisi wengine Hadi upambne kiumeYes mama yake kamkabidhi kiwanja na kamsisitiza ajenge ndivyo alivyomuhasa na pia "TEAM KARIAKOO" ikiongozwa na Muhidin Issa Michuzi wamemwambia akishajenga watampa mabati ya nyumba nzima.
Masikini ndivyo walivyo mkuu.Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday na kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night? Halafu baadae miezi miwili unachwa na kuanza kulalamikia wanawake.
Hivi wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa sasa mwanangu cheupe tumechoka na ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho.
Huenda Manara ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mambo Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa, sawa pesa natafuta sana ila siyo kufanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
Sawa kijana. Mi nakushauri tu kuwa hiyo kampani uliyo nayo sasa haikufai. Kila mara naona unaandika andika mambo ya hovyo ya kike kike sana. Mi nlikuwa naona kama ni jinsia ya kiume.....anyway sijui. Kama ulivyosema nisikuingilie mambo yako. Nimekushauri tu kijana.sisi wazee tumeona mbali. Na dalili ya mvua ni mawingu.Sasa mzee unaandika nn hap kwa herufi kubwa na bold juu nonsense
Wewe toa hoja tembeaa acha kuandika kwa heruf kubwa. Kingine Kama upendi hoja zangu mzee zijakulazimisha ukomenti wala kusoma ukiona nimeleta Jambo huku usiwe una Soma mkuu nenda kasome hoja unazo zipenda siyo lazm upendi Visa vyangu
Kila siku unalalamika as if nimekuita usome na kukoment
Ninatafuta hela yes nimebadili .Nimeweka picha yangu OG.HV ulikwendaga wapi wewe dada na umebadili avatar
Noted.Utakatishaji wa fedha za madawa ya kulevya akijifanya ni fedha za michango ya harusi, kumbe ndio anaziingiza katika system ya fedha halali
Tafuta zako ufanye mambo ya maana.Wewe tuko pmj nashukuru kwa kunielewa ninacho lalamikia siyo pesa zake Ni ujinga wa party kila mwkaa na kutumia pesa ndefu kufanya mamb ya hovyo
Tusikalili maisha njia za kutafuta pesa ni nyingi now days hiyo napenda jamaa anavyotengeneza pesa bila watu kujua pesa anapatajeKila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday na kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night? Halafu baadae miezi miwili unachwa na kuanza kulalamikia wanawake.
Hivi wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa sasa mwanangu cheupe tumechoka na ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho.
Huenda Manara ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mambo Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa, sawa pesa natafuta sana ila siyo kufanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
Uwezi kuwaonaMasikini ndivyo walivyo mkuu.
Unaona kina Mo, Bilgate,Elon musk, Bilgate wanafanya hayo maujinga???
Huna ujuacho wewe pita HV faster kadange ukoSawa kijana. Mi nakushauri tu kuwa hiyo kampani uliyo nayo sasa haikufai. Kila mara naona unaandika andika mambo ya hovyo ya kike kike sana. Mi nlikuwa naona kama ni jinsia ya kiume.....anyway sijui. Kama ulivyosema nisikuingilie mambo yako. Nimekushauri tu kijana.sisi wazee tumeona mbali. Na dalili ya mvua ni mawingu.
Sawa maa...tunasubiri ubuyuHebu ngoja nifuatilie dear, kama vipi weekend hii tuichachue kwa ubuyu.
Ukiona kimya ujue nimekosa uthibitisho.
Uwoyaa alitisha sana ktl dress code,Na waalikwa wale wale [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe we ni Dr? Hongeraa sanaa.Ninatafuta hela yes nimebadili .Nimeweka picha yangu OG.