Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

Sijapenda kabisa haji alikuwa na amsha amsha ya soka anyway mapenzi yake kwa yanga yamemponza nadhani simba waligundua
 
*MABORESHO KITENGO CHA HABARI NDANI YA SIMBA SC* Gift Macha yeye ataenda kuwa Media Officer(Mtayarishaji wa press zote,pia kuendesha Simba TV mpya ambayo itakuwa ni channel kabisa na YouTube Chanel za simba,Instagram,twitter and Facebook pages.) Haji Manara atabakia msemaji wa klabu (club spokesman)
 
Yule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
Kapewa kazi maalum..mtamkoma zaidi.
Najua yanga mtakuwa n furaha sana kama hizi taarifa ni źa kweli..
Jamaa anawakomesha...
 
Yule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
Ata concentrate kuuza dawa yake ya mende anayoita perfume.
 
Macha aandae press zote lakini aje aseme Haji. Hii mpya. Macha hana mdomo?
At least zile typos na grammatical errors za press release za 5imba zitaondoka au kupungua.
 
Gift ndo Le Boss mwenyewe,Haji la saba alijiona kafika kuwa leBOSS wa idara ya habari Simba.
Mo hataki vilaza.Mara uwaite mashabiki ni tecno ,biashara ile.Mo kaona isiwe tabu anataka kampuni yake Simba iendeshwe kisomi zaidi.
Amefanya jambo la maana sana. Manara kwa uwekezaji uliofanyika simba alikuwa hana nafasi kwa uwezo wa kiutendaji kuwa mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…