Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bado yupo yupo sana.Kwa hiyo atabaki Instagram kiukweli jamaa alikuwa anaboa sana
Labda jimbo la msimbazi ndo atashinda 😀😀😀Yaani yule akishinda ubunge,nitawadharau sana wanadsm.
Huwa mnazinunua hizo?
😂😂😂hivi kuna ulazima wa kila mtu kwenda swimming duh utafikiri kimba kinaelea juu ya maji[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1183464
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi kuna ulazima wa kila mtu kwenda swimming duh utafikiri kimba kinaelea juu ya maji
Labda ashinde njaa,kwa Simba hii hakuna timu yoyote ya Tanzania itakayochomoka.Ewaaaaa!! Hamna kitu ka hicho Mtani Azam anashinda moja bila.
Na ataendelea kuwanyoosha nyie Vyura. Mkitaka mkaiambie Ile mburura Muro iache U-DC ije iwatetee nyie Mabakuli, Vyura, Ndala, Yeboyebo, Ombaomba, Bukubuku, kenge FC![emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1183464
SHEIKH Haji Manara ataendelea kuwa Club Spokesman,Gift Macha yeye atakuwa Media offers,kwahiyo Haji yupo palepale Simba tulikuwa tunahitaji Afisa Habari na amepatikana lakini Msemaji wa Timu atabakia kuwa DE LA BOSS HAJI MANARA.Sesten Zakazaka , Penison, Tui , Sapta Sapta , Sanchez magoli , Proved , Mtoto halali na hela , OKW BOBAN SUNZU, Ghazwat muje museme hali zenu zikoje baada ya huyu mropokaji wenu kupigwa chini.
Kapewa kazi maalum..mtamkoma zaidi.Yule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
Anawanyima raha yanga wengi sana...Haji kupigwa chini,kumenifanya nisahau hata kama leo tumefungwa.
.Kama angehamia Kwa Vyura FC ingekuwa ndo habari, ila kama kabaki Kwa Masimba Dume No probleme, ni democtrasia mujarabu tu ya Simba!
Baba Manara endelea kuchemsha maji ya bwawa Vyura wote wakaote jua la saa 8!!
Ata concentrate kuuza dawa yake ya mende anayoita perfume.Yule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
Kinaitwaje hicho kitengo?Kuna watu wanafikiri Manara kapigwa chini kabisaaaa
Yaaan hatajihusisha na Simba tenaaaaaa
Kumbe ndo kwaaanza amezidi kulamba dume,saivi kakabidhiwa kitengo kizuri zaidiii
Macha aandae press zote lakini aje aseme Haji. Hii mpya. Macha hana mdomo?*MABORESHO KITENGO CHA HABARI NDANI YA SIMBA SC* Gift Macha yeye ataenda kuwa Media Officer(Mtayarishaji wa press zote,pia kuendesha Simba TV mpya ambayo itakuwa ni channel kabisa na YouTube Chanel za simba,Instagram,twitter and Facebook pages.) Haji Manara atabakia msemaji wa klabu (club spokesman)
Amefanya jambo la maana sana. Manara kwa uwekezaji uliofanyika simba alikuwa hana nafasi kwa uwezo wa kiutendaji kuwa mdogo.Gift ndo Le Boss mwenyewe,Haji la saba alijiona kafika kuwa leBOSS wa idara ya habari Simba.
Mo hataki vilaza.Mara uwaite mashabiki ni tecno ,biashara ile.Mo kaona isiwe tabu anataka kampuni yake Simba iendeshwe kisomi zaidi.