Amekataa kuwa chini ya Gift Macha. Maana mtu aliekuwa anajiona le Boss kupangiwa cha kuongea na le Boss wa sasa Gift Macha ni aibu kwa Haji. Demotion isikie tu.Anawanyima raha yanga wengi sana...
Anaenda kuwa mhamasishaji rasmi, sasa hapo ndio mtakimbia..
Sasa hivi atakuwa chini ya Gift Macha. Inasemekana Haji kakataa. Ila naona ana test zari tu. Mjini pagumu asipofanya propaganda atakula wapi?Amefanya jambo la maana sana. Manara kwa uwekezaji uliofanyika simba alikuwa hana nafasi kwa uwezo wa kiutendaji kuwa mdogo.
Macha ataongea kwenye press. Haji atakuwa mtu wa ushabiki tu. What a demotion. Shule ni muhimu jamani.Macha aandae press zote lakini aje aseme Haji. Hii mpya. Macha hana mdomo?
At least zile typos na grammatical errors za press release za 5imba zitaondoka au kupungua.
Hamna anaemchukia.Ila alijiona yeye ni le Boss wa Simba kitengo cha habari kumbe sasa kapata Boss wake.Yanga kumbe mnamchukia Haji zaidi ya utani wa jadi?Haji bado yupo sana Simba andaeni maandamano kupinga kubaki kwake. Gift ni afisa habari na Haji ni msemaji
Acha apate nafasi ya kwenda kortini ana kesi kibao za utapeli.Macha ataongea kwenye press. Haji atakuwa mtu wa ushabiki tu. What a demotion. Shule ni muhimu jamani.
Yule tapeli mkubwa,sijui hata kazi ya kuwa mkuu wa kitengo cha habari Simba aliipata vipi? Huyo kishafanya kazi ya kutembea tembea kila siku pale CCM Lumumba. Alishafikishwa mahakamani kwa utapeli wa magari.Acha apate nafasi ya kwenda kortini ana kesi kibao za utapeli.
Gift ndo Le Boss mwenyewe,Haji la saba alijiona kafika kuwa leBOSS wa idara ya habari Simba.
Mo hataki vilaza.Mara uwaite mashabiki ni tecno ,biashara ile.Mo kaona isiwe tabu anataka kampuni yake Simba iendeshwe kisomi zaidi.
Tapeli mzoefu. Gari moja bovu waliuziwa watu kadhaa wa mikoani.Yule tapeli mkubwa,sijui hata kazi ya kuwa mkuu wa kitengo cha habari Simba aliipata vipi? Huyo kishafanya kazi ya kutembea tembea kila siku pale CCM Lumumba. Alishafikishwa mahakamani kwa utapeli wa magari.
Hata ccm wakimpitisha nitashangaa,labda watumie kigezo cha hali yake tu
Mkuu punguza jazbaNa ataendelea kuwanyoosha nyie Vyura. Mkitaka mkaiambie Ile mburura Muro iache U-DC ije iwatetee nyie Mabakuli, Vyura, Ndala, Yeboyebo, Ombaomba, Bukubuku, kenge FC!
Why kila mwenye jina anakimbilia Perfume? Fa nae keshatoa FynFalsafa!Huwa mnazinunua hizo?
Yeye kujiona bosi wa Simba wewe Yanga unapungukiwa niniHamna anaemchukia.Ila alijiona yeye ni le Boss wa Simba kitengo cha habari kumbe sasa kapata Boss wake.
Saiv mtapumua kidogoSesten Zakazaka , Penison, Tui , Sapta Sapta , Sanchez magoli , Proved , Mtoto halali na hela , OKW BOBAN SUNZU, Ghazwat muje museme hali zenu zikoje baada ya huyu mropokaji wenu kupigwa chini.
Tangu akumwage umekuwa na hasira naye kishenzi....kubali tu bibieTapeli yule,zile perfume anadaiwa.Kesi ipo mahakamani.
Mtateseka sanaaaa, leo azam anakufa taifa mapemaaa
Ambae wanaYanga hawamtakianavyofanya D10 yule wa Yanga...
Kwa hiyo John Bocco, Manula, Nyoni Kapombe (alianzia Simba kabla ya Azam) ni wachezaji wa Azam sio?Hilo hakuna ubishi, kwani wanachezea menyewe kwa menyewe.