Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba

Huyo sijui Manara ingekuwa ni ulaya anefungiwa kwa kuonyesha disrespect (dharau/kutoheshimu) kwa timu nyingine..Mtu anabwabwaja eti watachukua ubingwa miaka kumi mfulululizo eti 'back to back'....hovyo kabisa...kwa mashabiki kutamba sawa lakini siyo kwa kiongozi.eti "nawachukia gongowazi"......hovyo..kabisa...
Hakuwa kimsemaji wa team kabisa,alikuwa kishabiki zaidi.Press conferences zake alikuwa anaongelea Yanga zaidi kuliko Simba.Press nzima anaiponda Yanga.Ndo maana tajiri kaona isiwe taabu.
 
Mpira hauchezwi mdomoni

Mpira haukui kwa sababu ya msemaji wa Team...

Mpira ni mpira na siasa ni siasa, mpira hauwezi kuwa siasa... Au sehemu ya kutangaza siasa

Mpira ni proffessional na hilo limeanza kuwekwa sawa Simba..

Simba ni kubwa kuliko mtu


Watanzania tubadilike katika hilo, mpira wa mdomoni tuacheni tuanze mpira wa uwanjani
 
Elimu yake ikoje huyo Gift Macha?@Madame Victoire
Haji anabaki kuwa shabiki tu,atakuwa anakwenda kunywa Gahawa tu pale Msimbazi.Na vile perfume haziuziki ndo acha alambe miguu viongozi wa CCM na Serikali.
 
Yule vuvuzela wa Simba,kapigwa chini ,nafasi yake imechukuliwa na Gift Macha.
Naamini Gift atakuwa kiprofeshenali zaidi,maana press conference za Haji zilikuwa ni full kuisema Yanga.
Jamaa hakuwa pfrofeshonel kabisa.
Your comments are not true wewe sema.ni
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196] Hajji bado yupo saaana kuwatesa
 
Simba wamefanya kosa kubwa sawa na lile walilowahi kulifanya chama changu cha Chadema (samahani kwa kuleta mfano wa kisiasa hapa), KUMLETA VICENT MASHINJI AVAE VIATU VYA DR.SLAA.

Muamini,msiamini: Simba inaenda kuwa ya bariiiidiiii kama pipi kifua, sawa tu na Vyura FC.

Siyo mara zote professionals wanafanya vizuri, kuna wakati wanazidiwa kwa mbali sana na amateurs (e.g Haji Manara). Na jambo hili nimeliona sehemu nyingi tu.
Ndio
 
Haji ni mshabiki wa Simba ila kuwa msemaji haikuwa sahihi, yeye alishindwa kujua kuwa nafasi yake ilikuwa kuzunhumza ya Simba na sio kushindana na Yanga.
Kwa Simba ilipofika ilihitaji watu makini na sio mashabiki tena kuiongoza Simba.
Haji ana mazur yake ila muda sio rafiki kwa maendeleo ya Simba.
Simba inaenda kuendeshwa kibiashara kwa ajili ya faida na sio kuishabiki tena kwahiyo inawahitaji watu wa kuifanya iwe buashara kubwa.
Kila la kheri bwana Haji Manara uliyoyafanya ni mazur ila yanahitajika mazuri zaid
 
Nimeingia kwenye page ya haji..zile caption ndefu ndefu naona hamna tena[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mna lingine nyie kenge WA bwawani bangu bangu FC
Screenshot_20190818-112524.jpeg
 
Back
Top Bottom