Haji ni mshabiki wa Simba ila kuwa msemaji haikuwa sahihi, yeye alishindwa kujua kuwa nafasi yake ilikuwa kuzunhumza ya Simba na sio kushindana na Yanga.
Kwa Simba ilipofika ilihitaji watu makini na sio mashabiki tena kuiongoza Simba.
Haji ana mazur yake ila muda sio rafiki kwa maendeleo ya Simba.
Simba inaenda kuendeshwa kibiashara kwa ajili ya faida na sio kuishabiki tena kwahiyo inawahitaji watu wa kuifanya iwe buashara kubwa.
Kila la kheri bwana Haji Manara uliyoyafanya ni mazur ila yanahitajika mazuri zaid