Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
- Thread starter
- #141
Hakuwa kimsemaji wa team kabisa,alikuwa kishabiki zaidi.Press conferences zake alikuwa anaongelea Yanga zaidi kuliko Simba.Press nzima anaiponda Yanga.Ndo maana tajiri kaona isiwe taabu.Huyo sijui Manara ingekuwa ni ulaya anefungiwa kwa kuonyesha disrespect (dharau/kutoheshimu) kwa timu nyingine..Mtu anabwabwaja eti watachukua ubingwa miaka kumi mfulululizo eti 'back to back'....hovyo kabisa...kwa mashabiki kutamba sawa lakini siyo kwa kiongozi.eti "nawachukia gongowazi"......hovyo..kabisa...