Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
Hivi kwanini huyu kiumbe ukimuita Zeruzeru unaonekana umemnyanyapaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulitaka kesho yake afukuzwe?! ulitaka hivi walimvyomfukuza waitishe media waje na orodha ya makosa yake? kuachana naye leo inaweza kuwa sababu ni hizo ulizotajaAlimtukana Shafih akawatukana E-Fm, walifanya interview na Manura akawatukana Wasafi juzi kati kawatukata wachambuzi akawaita taka taka mka kausha hayo apo sasa
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Wanadamu wanafiki sana,si nyie ndio mlikuwa mnafurahia Haji akiwaita Yanga nyani, mara awaite waandishi wa habari takataka na hatukwahi kusikia mkimlaani hivyo, wakati huo alionekana lulu ila sasa sababu anamshambulia tajiri yenu basi imekuwa nongwa ,mumesahau usemi wa umleavyo mtoto ndivyo akuavyo, sasa anawarudi kwa raha zake. na hayo makopo hataokota ila mnae hadi raha.View attachment 1893431
Ukiachwa achika
Vijembe anavyorusha kwa Mo Dewji na Simba Sc na bado hajibiwi vinaweza kumfanya huyu mtu akawa data na kuanza kuokota makopo. Hatua aliyofikia ni mbaya sana hakuna tofauti yeyote na mtu ambaye wehu ndo umeanza kuingia ingia, ameanza kutembea bila viatu amekushikilia suruali kiuoni haina mkanda.
Nawashauri wanasaikolojia na ndugu za karibu kumsadia. Hata wanaomtumia wajaribu kumuweka sawa kiakili kabla ya kumtumia. Kichaa haaminiki, muda wowote anaweza kukugeuka.
Marakifi wa kweli ni wale wanaoweza kumwambia rafiki ukweli wa kumsadia badala ya kumchekelea.
Imagine unaweza kumsingizia mtu uongo wa kiwango hiki. Achana na timu ya mpira, hata kampuni ya mfukoni tu ya mfanyabiashara aliyeanza biashara juzi hawezi kutengeneza logo yenye picha yake sembuse Mo Dewji.
Nataka kuamini Simba Sc imemtimua Haji Manara kwa sababu ya matatizo ya akili, lakini haikutaka kuweka wazi.
Simba ni taasisi na ni ajira watu waingie na kutoka. Huyu kaifanya too personal. Dadeki dadeki nini mtu haupo tena pale!!View attachment 1893431
Ukiachwa achika
Vijembe anavyorusha kwa Mo Dewji na Simba Sc na bado hajibiwi vinaweza kumfanya huyu mtu akawa data na kuanza kuokota makopo. Hatua aliyofikia ni mbaya sana hakuna tofauti yeyote na mtu ambaye wehu ndo umeanza kuingia ingia, ameanza kutembea bila viatu amekushikilia suruali kiuoni haina mkanda.
Nawashauri wanasaikolojia na ndugu za karibu kumsadia. Hata wanaomtumia wajaribu kumuweka sawa kiakili kabla ya kumtumia. Kichaa haaminiki, muda wowote anaweza kukugeuka.
Marakifi wa kweli ni wale wanaoweza kumwambia rafiki ukweli wa kumsadia badala ya kumchekelea.
Imagine unaweza kumsingizia mtu uongo wa kiwango hiki. Achana na timu ya mpira, hata kampuni ya mfukoni tu ya mfanyabiashara aliyeanza biashara juzi hawezi kutengeneza logo yenye picha yake sembuse Mo Dewji.
Nataka kuamini Simba Sc imemtimua Haji Manara kwa sababu ya matatizo ya akili, lakini haikutaka kuweka wazi.
timu yako na nani,nyie ndio wajing wachache tunaowashauri tumieni akili wakati wote. Huu upuuzi mnaouandika hauishii humu tu unaakisi kushindwa kwa maisha yako halisiDewj ni tapeli la kimataifa litaiacha timu yetu muda si muda
Ametoka kwa kinyongo ni kama kuacha mke huku roho inakuuma 😁😁😁😁View attachment 1893431
Ukiachwa achika
Vijembe anavyorusha kwa Mo Dewji na Simba Sc na bado hajibiwi vinaweza kumfanya huyu mtu akawa data na kuanza kuokota makopo. Hatua aliyofikia ni mbaya sana hakuna tofauti yeyote na mtu ambaye wehu ndo umeanza kuingia ingia, ameanza kutembea bila viatu amekushikilia suruali kiuoni haina mkanda.
Nawashauri wanasaikolojia na ndugu za karibu kumsadia. Hata wanaomtumia wajaribu kumuweka sawa kiakili kabla ya kumtumia. Kichaa haaminiki, muda wowote anaweza kukugeuka.
Marakifi wa kweli ni wale wanaoweza kumwambia rafiki ukweli wa kumsadia badala ya kumchekelea.
Imagine unaweza kumsingizia mtu uongo wa kiwango hiki. Achana na timu ya mpira, hata kampuni ya mfukoni tu ya mfanyabiashara aliyeanza biashara juzi hawezi kutengeneza logo yenye picha yake sembuse Mo Dewji.
Nataka kuamini Simba Sc imemtimua Haji Manara kwa sababu ya matatizo ya akili, lakini haikutaka kuweka wazi.
timu yako na nani,nyie ndio wajing wachache tunaowashauri tumieni akili wakati wote. Huu upuuzi mnaouandika hauishii humu tu unaakisi kushindwa kwa maisha yako halisi
Timu yenu wewe na wenzio wepi?,embu nenda kavue kambare pale Kaunda stadium.Dewj ni tapeli la kimataifa litaiacha timu yetu muda si muda