Haji Manara ashukuru Mungu Muro yuko mfumgoni Kwaresma

Haji Manara ashukuru Mungu Muro yuko mfumgoni Kwaresma

Nimegundua uyanga una nguvu mno,hata ukisema yanga ni bora kuliko madrasa utapata sapoti ya wanajangwani wote bila kujali dini zao.

Kama ni hivyo ni kweli muro anaelimu kubwa anachozidiwa na manara ni huo ualimu tu wa madrasa ambao kwa anavyouchukulia hauna maana,na wafuasi wa yanga wako pamoja naye kwenye hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya Mungu mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegundua uyanga una nguvu mno,hata ukisema yanga ni bora kuliko madrasa utapata sapoti ya wanajangwani wote bila kujali dini zao.

Kama ni hivyo ni kweli muro anaelimu kubwa anachozidiwa na manara ni huo ualimu tu wa madrasa ambao kwa anavyouchukulia hauna maana,na wafuasi wa yanga wako pamoja naye kwenye hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa mkuu.. yani ualimu wa madrasa alivyouchukulia ni kama kufundisha kibao kata na wanayanga wengine watoto zao wamefundishwa na huyo manara lkn wanachekelea.. yanga ni bora zaidi kuliko hata imani za watu dah!
 
Mimi ni Muislamu namsapoti muro kwa 100%. Kumwambia manara akafundishe madrasa sio kosa, hata madrasa ni elimu ya dini. Manara akome kuwadhalilisha wachezaji na timu ya Yanga, kwa kisingizio cha utani wa jadi.
 
Ni kweli kabisa mkuu.. yani ualimu wa madrasa alivyouchukulia ni kama kufundisha kibao kata na wanayanga wengine watoto zao wamefundishwa na huyo manara lkn wanachekelea.. yanga ni bora zaidi kuliko hata imani za watu dah!
Manara akafundishe madrasa mambo ya mpira hakuna anachojua ni mbumbumbu anachojua ni kuitukana Yanga, wanayanga tunamuunga mkono muro 100%
 
Manara nimegundua ni kama CCM. Anataka kutukana wenzake na kuwaita majina yote mabaya ila yeye akiambiwa Ukweli anakimbilia jinai na kuomba msaada kwa watu wasioelewa. Angalau na sisi kwasiku hizi mbili tumepumzika kutokana na kejeli na kshfa za Manara. Muro karibu tena mjini.
Utofauti wa manara na Jeri ni kua Manara anaendeleza utani wa Simba na yanga, ila Jeri yeye yupo kumu attack Manara has individual.

Uwezi mtu ambaye umemsaidia uanze kumsimanga kisa ulitoa mchango wako ili atibiwe. Sidhani ka Manara angeumia ka Jeri angekua anaisema Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaa chini utulie ulinganishe kauli zake na za wasemaji wa timu nyingine, msemaji weni ni mropokaji sana.
Shida ya nyie Yanga mnataka mseme nyinyi wenyewe, Nani msemaji wa Yanga sio mlopokaji?
Mi kulopoka kwa kuendeleza utani wa Simba na Yanga sioni shida, ila sio kumsema mtu individually

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alivyomwita Morison takataka huo ni utani wa timu?
Utofauti wa manara na Jeri ni kua Manara anaendeleza utani wa Simba na yanga, ila Jeri yeye yupo kumu attack Manara has individual.
Uwezi mtu ambaye umemsaidia uanze kumsimanga kisa ulitoa mchango wako ili atibiwe,
Sidhani ka Manara angeumia ka Jeri angekua anaisema Simba .

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijuavyo mm upo utani wa simba na yanga kama ilivyo desturi ya hizi timu lkn kitendo cha kumkashifu mtu eti "uliumwa ww, mm nimekutibia" huu si uungwana na hata kama kweli alitoa hizo hela. Mara "hunizidi chochote ww zaidi huo ualimu wa madrsasa" haya yote yanaingiaje? Yani jamaa hana itikeli kabisa kwa sie watu wa uswazi tunasema. 'How come' umsimange mtu kisa umempa mchango wako kipindi anaumwa! Ila jamaa ni mchaga wala sishangai desturi yao hawa watu inajulikana
"Marison ni takakataka" By Manara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya nyie Yanga mnataka mseme nyinyi wenyewe, Nani msemaji wa Yanga sio mlopokaji?
Mi kulopoka kwa kuendeleza utani wa Simba na Yanga sioni shida, ila sio kumsema mtu individually

Sent using Jamii Forums mobile app
Msemaji wenu ndio bingwa wa kuwasemea maneno ya hovyo wenzake individually.
 
Back
Top Bottom