Haji Manara ashukuru Mungu Muro yuko mfumgoni Kwaresma

Haji Manara ashukuru Mungu Muro yuko mfumgoni Kwaresma

Nijuavyo mm upo utani wa simba na yanga kama ilivyo desturi ya hizi timu lkn kitendo cha kumkashifu mtu eti "uliumwa ww, mm nimekutibia" huu si uungwana na hata kama kweli alitoa hizo hela. Mara "hunizidi chochote ww zaidi huo ualimu wa madrsasa" haya yote yanaingiaje? Yani jamaa hana itikeli kabisa kwa sie watu wa uswazi tunasema. 'How come' umsimange mtu kisa umempa mchango wako kipindi anaumwa! Ila jamaa ni mchaga wala sishangai desturi yao hawa watu inajulikana
 
Kama ni hivyo utani .. mkuu na iwe kweli mana interview zote nimeangalia ile ya jerry na ya haji ya jana. kwa namna wanavyoriact sio vizuri kabisa
Yaani kilichotokea pale mmoja alizungumza utani lakini mwingine akachukulia serious. Na aliyekuza mambo ni Haji.

Na si ajabu ukakuta haya yanaisha ndani ya muda mfupi tu na kwenye mechi ya tarehe 08 ya Simba na Yanga wakakaa pamoja.

Ila niseme tu wanajuana wale. Wasituumize vichwa.
 
Yaani kilichotokea pale mmoja alizungumza utani lakini mwingine akachukulia serious. Na aliyekuza mambo ni Haji.

Na si ajabu ukakuta haya yanaisha ndani ya muda mfupi tu na kwenye mechi ya Simba na Yanga wakakaa pamoja.

Ila niseme tu wanajuana wale. Wasituumize vichwa.
Hahaha wale Ni marafiki wasituumize vichwa watapatana wenyewe kwa muda wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kilichotokea pale mmoja alizungumza utani lakini mwingine kachukulia serious.

Na si ajabu ukakuta haya yanaisha ndani ya muda mfupi tu na kwenye mechi ya Simba na Yanga wakakaa pamoja.
Ila mkuu yule mchaga ana roho mbaya na wivu juu, kinachofanya mashabiki wa yanga mumpende kwa wkt huu ni kashfa zake juu ya manara ila muda utaongea pale jangwani juu ya ujio wake.. hana kauli nzuri hata kidogo, iweje aseme eti " kuanzia leo tutaanza kushinda kisa yeye karudi kwani hizo mechi nyingine mlizokuwa mnashinda ye alikwepo?

Na hii kujiona ye ni bora kuliko viongozi wengine pale yanga. Nuksi tu wachaga mkuu.
 
Hakika wanajuana wale japo mmoja akitaniwa kidogo anakuza mambo weee na kutafuta huruma kila kona.
Ndiyo maana hata siwezi kupoteza muda kisa Jerry na Hajji.......wote wanatafuta umaarufu kupitia Yanga na Simba
 
Ila mkuu yule mchaga ana roho mbaya na wivu juu... kinachofanya mashabiki wa yanga mumpende kwa wkt huu ni kashfa zake juu ya manara ila muda utaongea pale jangwani juu ya ujio wake.. hana kauli nzuri hata kidogo, iweje aseme eti " kuanzia leo tutaanza kushinda kisa yeye karudi.. kwani hizo mechi nyingine mlizokuwa mnashinda ye alikwepo? Na hii kujiona ye ni bora kuliko viongozi wengine pale yanga. Nuksi tu wachaga mkuu
Na Uyanga wangu sijawahi kumuelewa Jerry Muro, pamoja na mwenzake Hajji wanaongea ongea tu bila kujielewa
 
Maneno yake ni juu ya utani wa jadi wa simba na yanga mfano gongowazi, kwasu kwasu lkn si kumkashifu mtu eti ww huna unachonizidi zaidi ya ualimu wa madrasa mara umeumwa tumekuchangia
Manara akisema yanga ni masikini, ombaomba wanaishi kwa kuchangiwa sio matusi, muro akisema manara amechangiwa matibabu ni matusi sio? gongowazi unaona sio matusi? Unajua maana ya gongowazi? Huyu Manara anachekewa sana wakati yeye ndio anangoza kwa kutukana mjinga mkubwa huyo!
 
Manara akisema yanga ni masikini, omba omba wanaishi kwa kuchangiwa sio matusi, muro akisema manara amechangiwa matibabu ni matusi sio? gongowazi unaona sio matusi? Unajua maana ya gongowazi? Huyu Manara anachekewa sana wakati yeye ndio anangoza kwa kutukana mjinga mkubwa huyo!
Huyu msemaji wao amedekezwa sana mara atuite kwasu kwasu, mara aseme dada zetu hawana shepu wakivaa jezi za timu haziwakai, ifike muda utani wa kipuuzi usitishwe maana tunaoelekea sio kuzuri kuna upande unapenda uwe unatoa maneno ya hovyo tu ila yakirudishwa kwao ni tatizo.
 
Hayo ni maneno ya utani wa jadi na si kumtukana mtu kabisa yeye kama yeye
Na anavyomdhalilisha mchezaji wa yanga binafsi benad morison nayo ni utani wa jadi? Huyu manara ni wakutandika bakora hatakiwi kuchekewa.
 
Back
Top Bottom