Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Nijuavyo mm upo utani wa simba na yanga kama ilivyo desturi ya hizi timu lkn kitendo cha kumkashifu mtu eti "uliumwa ww, mm nimekutibia" huu si uungwana na hata kama kweli alitoa hizo hela. Mara "hunizidi chochote ww zaidi huo ualimu wa madrsasa" haya yote yanaingiaje? Yani jamaa hana itikeli kabisa kwa sie watu wa uswazi tunasema. 'How come' umsimange mtu kisa umempa mchango wako kipindi anaumwa! Ila jamaa ni mchaga wala sishangai desturi yao hawa watu inajulikana