Haji Manara atafuta wafanyakazi wa ndani wamsaidie Mke wake kupika

Ukitaka kujua waTanzania ni wachawi na wasiopenda maendeleo ya wenzao Soma comments.

Mimi nimtakie Kila la kheri bwana Manara kwenye ndoa yake na bibie.
 
Baada ya kumuoa mchumba wake Zailyssa, Haji Manara ameamua kumtafutia Mke wake huyo Vijakazi wa ndani ili wamsaidie kwenye majukumu ya nyumbani.

Anaandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram,

TANGAZO TANGAZO TANGAZO 🙌
NAFASI ZA AJIRA MPYA

Kwa Sheria ya Dini yangu, Mila na Desturi za Watu wa Pwani, Utamaduni na Maadili ya Mwanamme wa Kiswahili, ni haraam kumfanya Mkeo Kijakazi au Mtumwa ndani ya nyumba.

Kwetu Sisi Mashomvi Mke ni Pambo, Mke ni Malkia, Mke ni Pozo la tabu zako, Mke yake Hina na Piko, Mke ni kujikwatua kwa ajili ya kumfurahisha Mmewe, Mke wa kikwetu kazi yake kubwa ni kukupa furaha na kukusaidia kutekeleza majukumu ya kifamilia, ni makosa kwetu hata Mke kwenda Sokoni kuhemea , hata ile kufanya kazi ni kwa sababu ya dunia ya kisasa ya kusaidiana maisha, lakini akiwa home hapaswi tena kuwa MTUMWA!!

Basi kwa maneno haya nawaomba wale wote ambao ni Make Up artists au watengeneza kucha na venders wengine wa majumbani,,natangaza ajira nyumbani kwangu, bila kusahau Wapishi.

Na kwenye Wapishi nahitaji Chefs anaejua kuuchezea Mchele kisawa sawa, kuanzia Biriani,Pilau,Mandi na Ubwaba.

Chef’s mwingine ni maalum kwa Madiko madiko kama Rost ,Burger, Pizza, Chips, Nyama Choma na Chefs maalum wa kutengeneza Salads na Mboga nyingine, nisisahau mtengeneza Juice na desert, ila huyu wa mwisho ntamleta kutoka Philippines.

Sihitaji Mke wangu akaungue na moto au kuhangaika na kuni coz si haba naweza kumfanya malkia kwa kumuwekea wasaidizi na yeye kazi yake ibaki kunipa furaha Bugati, kunipikia iwe labda atake mwenyewe tena mwisho iwe coffee yangu ya asubuhi tu.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1
Hivi kaoa ama kachumbia?

Waswahili best vibe
 
Baada ya kumuoa mchumba wake Zailyssa, Haji Manara ameamua kumtafutia Mke wake huyo Vijakazi wa ndani ili wamsaidie kwenye majukumu ya nyumbani.

Anaandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram,

TANGAZO TANGAZO TANGAZO [emoji119]

JOB FALSE FALSE.
 
Mapenzi Yana asili mbili

Mwanzoni yanakuwa matamu kama asali

Ila mwishoni yanakuwa machungu kama shubiri..

Hii ni sehemu ya mwanzo wa kitabu chao

Itakuja sehemu ya mwisho ya Kitabu ambapo hatutaacha kuona matusi na lugha chafu wakitoleana kwenye mitandao ya Kijamii

Uzuri wa Haji hiyo ni ndoa ya 6 ama 7 tangu aanze kuwa celeb.
 
Hivi huyu jamaa ni comedian, mbona anamsifia mdoli wake huyo mpya publically mbele ya wanahabari na kuwachekesha? Hivi ni vituko, asiombe aajiri mpaka kucha wa kiume ataupakua mzinga wake asije akalalamika muhuni kamlambia asali yake
 
Baada ya kumuoa mchumba wake Zailyssa, Haji Manara ameamua kumtafutia Mke wake huyo Vijakazi wa ndani ili wamsaidie kwenye majukumu ya nyumbani.

Anaandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram,

TANGAZO TANGAZO TANGAZO 🙌
NAFASI ZA AJIRA MPYA

Kwa Sheria ya Dini yangu, Mila na Desturi za Watu wa Pwani, Utamaduni na Maadili ya Mwanamme wa Kiswahili, ni haraam kumfanya Mkeo Kijakazi au Mtumwa ndani ya nyumba.

Kwetu Sisi Mashomvi Mke ni Pambo, Mke ni Malkia, Mke ni Pozo la tabu zako, Mke yake Hina na Piko, Mke ni kujikwatua kwa ajili ya kumfurahisha Mmewe, Mke wa kikwetu kazi yake kubwa ni kukupa furaha na kukusaidia kutekeleza majukumu ya kifamilia, ni makosa kwetu hata Mke kwenda Sokoni kuhemea , hata ile kufanya kazi ni kwa sababu ya dunia ya kisasa ya kusaidiana maisha, lakini akiwa home hapaswi tena kuwa MTUMWA!!

Basi kwa maneno haya nawaomba wale wote ambao ni Make Up artists au watengeneza kucha na venders wengine wa majumbani,,natangaza ajira nyumbani kwangu, bila kusahau Wapishi.

Na kwenye Wapishi nahitaji Chefs anaejua kuuchezea Mchele kisawa sawa, kuanzia Biriani,Pilau,Mandi na Ubwaba.

Chef’s mwingine ni maalum kwa Madiko madiko kama Rost ,Burger, Pizza, Chips, Nyama Choma na Chefs maalum wa kutengeneza Salads na Mboga nyingine, nisisahau mtengeneza Juice na desert, ila huyu wa mwisho ntamleta kutoka Philippines.

Sihitaji Mke wangu akaungue na moto au kuhangaika na kuni coz si haba naweza kumfanya malkia kwa kumuwekea wasaidizi na yeye kazi yake ibaki kunipa furaha Bugati, kunipikia iwe labda atake mwenyewe tena mwisho iwe coffee yangu ya asubuhi tu.

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1

Ndoa inaanguka hii mapema sana, huyu mwanamke atamea kichwa atamtes huyu Pumbavu, atavumilia kwa mda atakwaa
 
Bongo sihami ng'oo maana si kwa vichekesho hivi....[emoji119][emoji1787]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kujua waTanzania ni wachawi na wasiopenda maendeleo ya wenzao Soma comments.

Mimi nimtakie Kila la kheri bwana Manara kwenye ndoa yake na bibie.
Usiye Mchawi unafata nini kwenye platform ya Wachawi ilihali ndege wananao huruka kundi moja, kama si unafki tu?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
IMG_5272.jpg
 
Back
Top Bottom