Haji Manara atafuta wafanyakazi wa ndani wamsaidie Mke wake kupika

Ukitaka kujua waTanzania ni wachawi na wasiopenda maendeleo ya wenzao Soma comments.

Mimi nimtakie Kila la kheri bwana Manara kwenye ndoa yake na bibie.
 
Hivi kaoa ama kachumbia?

Waswahili best vibe
 
JOB FALSE FALSE.
 
Mapenzi Yana asili mbili

Mwanzoni yanakuwa matamu kama asali

Ila mwishoni yanakuwa machungu kama shubiri..

Hii ni sehemu ya mwanzo wa kitabu chao

Itakuja sehemu ya mwisho ya Kitabu ambapo hatutaacha kuona matusi na lugha chafu wakitoleana kwenye mitandao ya Kijamii

Uzuri wa Haji hiyo ni ndoa ya 6 ama 7 tangu aanze kuwa celeb.
 
Hivi huyu jamaa ni comedian, mbona anamsifia mdoli wake huyo mpya publically mbele ya wanahabari na kuwachekesha? Hivi ni vituko, asiombe aajiri mpaka kucha wa kiume ataupakua mzinga wake asije akalalamika muhuni kamlambia asali yake
 

Ndoa inaanguka hii mapema sana, huyu mwanamke atamea kichwa atamtes huyu Pumbavu, atavumilia kwa mda atakwaa
 
Bongo sihami ng'oo maana si kwa vichekesho hivi....[emoji119][emoji1787]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kujua waTanzania ni wachawi na wasiopenda maendeleo ya wenzao Soma comments.

Mimi nimtakie Kila la kheri bwana Manara kwenye ndoa yake na bibie.
Usiye Mchawi unafata nini kwenye platform ya Wachawi ilihali ndege wananao huruka kundi moja, kama si unafki tu?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…