Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Haji bana..hivi kile kikosi ni cha bilioni 1.3 kweli?Tusaidie mipasho yake ni ipi ?..
Ushindi wa Timu ya mpira unaletwaje na msemaji wa klabu ?..
Kelele ni nini ?..
Zipi ni kelele ktk taarifa zake ?.
Huenda baadhi ya mashabiki wa simba wapo hivyo kama msema sema wao
Haji bana..hivi kile kikosi ni cha bilioni 1.3 kweli?
Pia manara ni msemaji wa chama..huwa anatoa hoja za kuprotect ccm...hivi mpira na sisa wapi na wapi..mimi nibsimba damu
Haki yake mandhari havunji Sheria
Samahani Mkuu Haji Manara sikujua kuwa upo humu!!!!
Kwahiyo acc ya Magu anaweza kupost chochote lzm kuwe na tofauti ya kiongozi na ww! Anachosema kiongozi kina reflect na taasisi anayoifuatilia.
Barua ina kilo 5 sijui walijaza mawe
Timu ya mambumbumbu utegemee wanapenda kusikia nn zaidi ya udaku na kuongopewa!!
Mipasho imezidi sana,ile nafasi inamfaa mtu mstaarabu
Naona akili zinawarudi sasa
Hii yote sababu ni M.B.A.O
Ili ueleweke ni vema ungetuwekea majukumu ya Wasemaji wa klabu za mpira hususani Simba,ili tujue yamekiukwa vipi ...
Tuwekee na utaratibu au miongozo yao ,wanajisemea tu kutoka ktk Akili zao au wanatumwa na klabu zao ?..
Tusaidie mipasho yake ni ipi ?..
Ushindi wa Timu ya mpira unaletwaje na msemaji wa klabu ?..
Kelele ni nini ?..
Zipi ni kelele ktk taarifa zake ?.
Sio account ya kazi Ile ni yake binafsi kuna muda inabidi tuwe tunaacha kushtumu Kwa mambo ya mtu binafsi
Hawa wapiga debe tu hawana chochote ukiangalia hawako wabunifu kabisa.. ukiangalia msemaji wa sasa wa yanga yaani ndo creative tofauti na muro aliekua mpiga kelele tu alafu timu ziko nyuma ki habari dunia ya sasa inaitaji watu wabunifu sio wazaramo midomoni
Usemaji wa vile ni aibu kwa timu ,kuna vitu vya msingi vya kuzungumziaJamaa anakwaza hadi nawaza kum-unfollow Instagram maana 90% ya post zake zinahusu Yanga na sio Simba,hatupati habari zinahusu club bali tunapata changamoto zinazoihusu Yanga.Japokuwa akituliwa ana uwezo mkubwa mno wa kujieleza na kuielezea club sasa sijui ni nini kinamfanya ajichetue.
Usemaji wa vile ni aibu kwa timu ,kuna vitu vya msingi vya kuzungumzia
Haji bana..hivi kile kikosi ni cha bilioni 1.3 kweli?
Simshambulii kwa hisia,msemaji wa timu kubwa kama simba anajikita na kuanzisha hoja za kumfananisha mchezaji na shilole?kujadili kikuku?Bado haujajibu swali nililo kuuliza ili hoja yako ieleweke..Jibu kwanza Mkuu ,usimshambulie Mtu kwa hisia..
Simshambulii kwa hisia,msemaji wa timu kubwa kama simba anajikita na kuanzisha hoja za kumfananisha mchezaji na shilole?kujadili kikuku?
Kuna mambo mengi ya msingi