Haji Manara hajawahi kuzini

Haji Manara hajawahi kuzini

Kabisa.Maana huu utandawazi hadi baadhi ya watu kupungukiwa hekima.Kila kitu wanaweka kwenye vyombo vya habari kama ndevu za kichaa.
Mara sjui tunaanda birthday na mke wangu mara sherehe party ntakuwa na mke wangu watu mje mtuoneeee
Yaani anamfanya mwanamke kama kinyagoooo toyyyy
Hawa sasa wabanduane watu wote waoneeee tu

Ova
 
Back
Top Bottom