Haji Manara hata ufanyeje Laana ya Kuikataa Simba SC ambayo ndiyo Timu yako ndiyo sasa Inakutesa hadi 99% ya wana Yanga SC wanakukataa Kweupe

100% ya wanayanga hawamkubali na hana uungwaji mkono kabisa ndani ya yanga, haji angefahamu angetulia zake simba, kinachomkwamisha ni tabu la rasa, yani kuzaliwa kariakoo anajiona mjanja, anashidwa kuelewa kuna watu wamezaliwa newyork, analeta ujanja wa kitoto sana, yule hua tunasema ana njaa sana , angekua vyema angeemdeleza miradi yake kuliko kogombana na akina kamwe
 
Haji simba alitoka peke yake na hakuna shabiki aliemfuata, hivo watu hawataki msemaji wa makelele na matusi, watu wanataka utani kidogo na kazi haji anakua kama analipa kisasi Kwa simba wakati mashabiki wa team zote hawafurahishwi na ujinga wake
 
100% ya wanayanga hawamkubali na hana uungwaji mkono kabisa ndani ya yanga, haji angefahamu angetulia zake simba, kinachomkwamisha ni tabu la rasa, yani kuzaliwa kariakoo anajiona mjanja, anashidwa kuelewa kuna watu wamezaliwa newyork, analeta ujanja wa kitoto sana, yule hua tunasema ana njaa sana , angekua vyema angeemdeleza miradi yake kuliko kogombana na akina kamwe
Kwani Manara Tv yake haimlipi?
 
Hana hela sasa akija yanga atauza siri zetu wana yanga. Haaminiki kabisa. Bora arudi simba
 
Yaani kabisa Baba yako Mzazi akiri EFM Radio na EA Radio kuwa Wewe ni mwana Simba SC kisha useme ni Yanga SC?
Hatujamkataa Manara kwa sababu ya laana, tumemkataa Manara kwa tabia zake za kishenzi, hana heshima, uropokaji na kujifanya mjuwaji.

Uongozi umesikia sauti yetu wamemrudisha Ally Kamwe kwa mkataba wa miaka miwili.

Wasambaa wanasema ukitandika mvyedi na ugoshe mvyedi.

Ally Kamwe hana egos anapambaniwa na mashabiki na sisi ndio tunamuinuwa yeye wala hajiinui kama yule kichaa mla mirungi.
 
Halafu Siku hizi anapungua sana. Namuonea mno Huruma Mkewe kwa Kuponzwa na Zamaradi kuingia hapo Danger Zone.
Kuna highest voltage pale yule deni kaisha unganishwa sasa ni kula maharage kila siku

USSR
 
Back
Top Bottom