Haji Manara hata ufanyeje Laana ya Kuikataa Simba SC ambayo ndiyo Timu yako ndiyo sasa Inakutesa hadi 99% ya wana Yanga SC wanakukataa Kweupe

Haji Manara hata ufanyeje Laana ya Kuikataa Simba SC ambayo ndiyo Timu yako ndiyo sasa Inakutesa hadi 99% ya wana Yanga SC wanakukataa Kweupe

Diamond Ni yanga simba alikua kibiashara kama Ali kiba ni yanga damu na simba yuko kibiashara, wasanii huangalia fedha, hapa tunaongelea lopolopo, diamond bila kulipwa mamilioni unadhani angemfuata haji?
Nakumbuka, Haji alivyoenda Yanga, Diamond alitangaza kumfuata, na kusema anaachana na Simba.
 
Back
Top Bottom