Haji Manara hata ufanyeje Laana ya Kuikataa Simba SC ambayo ndiyo Timu yako ndiyo sasa Inakutesa hadi 99% ya wana Yanga SC wanakukataa Kweupe

Kuna highest voltage pale yule deni kaisha unganishwa sasa ni kula maharage kila siku

USSR
Mkewe Juha mno yaani wanaomjua Mumewe alivyo Danger Zone Kitambo sana walimuonya Yeye akaamua kumsikiliza Shoga yake na Mnafiki Zamaradi. Sasa acha yamkute na hili liwe Fundisho kwa wengine kuwa mkionywa kuhusu Watu wengine ambao ni Danger Zone muwe mnaamini na mnawasikiliza.
 
Shida sio yeye

Nmegundua hilo sasa sijui nanyie mnaa unga mkono hoja
 
Na Sisi Simba SC hatumtaki bakini nae au kama vipi kamtupeni tu kabisa Baharini aliwe na Papa au Mto Malagarasi Mamba wajipatie Kitoweo Kinono.
Hahahaha ana familia kubwa ya kutunza wake kibao in additional kwa walio halali so hana hela akija simba lazima auze siri kwa yanga na akija yanga ni the same so ninyi ni mtu wenu wana simba mpokeeni hata awe anafua nguo za wachezaji
 
Shida sio yeye

Nmegundua hilo sasa sijui nanyie mnaa unga mkono hoja
Ukikutana nae muulize GENTAMYCINE naomba kujua Siku hizi haendi tena Dubenga ( Dubai ) kupiga mluzi / kubinua mchanga kama kawaida yake?
 
Simba kwenyewe hawamtaki, anatumia mbinu za miaka ya 90 kuhamasisha mpira, anajenga uadui baina ya mashabiki muda wote kutukana, hajatulia kiakili hatumtaki
Kama akitaka arejee Simba SC tutampa Sharti Kubwa moja tu la kumtaka apime Afya na hasa hasa HIV / Danger Zone.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kama Haji yumo humu na anasoma haya mashambulizi,
Anaweza kuchimba shimo kisha akajifukia.
Na najua haipendi mno hii ID kwani kuna Siku katika Press Conference alimhisi Mwandishi wa Mwanaspoti kuwa ndiyo Mimi na hata Kumtukana na kutaka Kumpiga. Na bahati nzuri hajui kuwa GENTAMYCINE kwa nature ya Tasnia yangu, Maarifa mapana, Usomi wangu, Ujanja wangu, Umakini na kuwa na Marafiki wengi wa kila Sekta na Idara ( huku wengi ) wakiwa ni Marafiki zake Wakubwa na karibu kila Siku anakuwa nao ndiko kunanifanya nimjue zaidi na Kiundani kuliko anavyonijua Yeye. Tena Haji Manara anasoma sana Mada hapa JamiiForums na tupo nae 24/7 kama Jerry Muro ambaye tupo nae na hata ID yake naiona ile pale imejaa tele ila anachangia ki neutral neutral sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…